Msaaada jinsi ya kuanzisha software company bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaaada jinsi ya kuanzisha software company bongo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by C.T.U, Nov 13, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wakuu naomba kuuliza swali ?
  Mfano mtu anataka kuanzisha something like website ambayo itakuwa na software application yake kwa both PC na mobiles sawa je jinsi ya kupata leseni kwa biashara ya namna hii yaweza kugharimu kiasi gani??

  Je leseni ya kibiashara inachukua muda gani??


  Je apart leseni ya biashara ni process gani ambazo zinatakiwa zifuatwe mpaka kuweza kuifanya hii biashara na ikatambulika kama biashara halali??

  Naombeni msaada katika hili coz nimeshindwa kufuatilia coz niko mbali kidogo na bongo

  mdau afrika

  mdau, ughai
   
 2. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Kuwa na website hapo pana maelezo zaidi, kama vile je utakuwa na server yako mwenyewe? au utahitaji ISP a-host hiyo web yako katika server zake?
  Kuhusiana na usajili hilo ni suala la Brella, hao ndiyo wanahusika na usajili wa makampuni, kuhusu muda ni mara baada ya kukamilisha kuhakiki taarifa za hiyo kampuni kama ilivyoelekezwa katika form zao, japo suala hili hutawaliwa na urasimu zaidi ila nimeshau the specific time mentioned.
  Pia inategemea je unahitaji business name? au Limited comapany.
   
Loading...