Msaa wa ushaur wana jf biashara ya kuwa agent wa kuuza ticket za ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaa wa ushaur wana jf biashara ya kuwa agent wa kuuza ticket za ndege

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by FIDO DIDO, May 7, 2012.

 1. F

  FIDO DIDO Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hellow naomben mwenye kujua biashara hi ya kuwa agent wa kuuza ticket za ndegen mwenye maujaunja ya jinsi ya kuanza, marketing techniques,na vigezo mpaka nipewe kuwa agent.
   
 2. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 754
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Kaka hyo ni dil nzuri sana inategemea na capital yako na wateja wako ni wa class gan.Kuna siku nlikuwa nazungumza na mtu fulan ana connection nzuri kwenye mashirika ya uma na binafsi. Kama vp ni pm ili tujadili mchakato na nijaribu kukutanisha na jamaa fulan mjadili kwa kuwa mimi si mtaalam sana.Karibu
   
 3. K

  Khokhma Senior Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nawish na me ningejua
   
 4. F

  FIDO DIDO Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks mkuu ngoja niku pm tujadil.
   
Loading...