Mrs Anna Tibaijuka new politician in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrs Anna Tibaijuka new politician in Tanzania

Discussion in 'International Forum' started by RealDeal, Sep 5, 2010.

 1. RealDeal

  RealDeal JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tibaijuka walks into real politics
  [​IMG] If Mrs Tibaijuka is appointed to Mr Jakaya Kikwete's next Cabinet, it will be interesting to see what position she gets.  By MURITHI MUTIGA mmutiga@ke.nationmedia.com
  Posted Saturday, September 4 2010 at 22:30

  The curtain fell on the long diplomatic career of UN-Habitat Executive Director Anna Tibaijuka after she retired last Tuesday.

  Mrs Tibaijuka was the second highest ranking African woman in the United Nations system. She had become a familiar figure in Kenyan diplomatic circles for her forceful advocacy for improvement of housing for the urban poor.

  Speaking at a luncheon in her honour, Mrs Tibaijuka announced she was taking up a new career as a politician in Tanzania. The former University of Dar es Salaam don is the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) candidate in Bukoba, which means she is all but certain to be elected to the Tanzanian parliament.


  http://www.nation.co.ke/News/politics/Tibaijuka%20walks%20into%20real%20politics%20%20/-/1064/1003762/-/v9edwh/-/
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu mwandishi kachanganyikiwa nini aliyemuambia ni lazima Kikwete ashinde uchaguzi nani???
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe uko nchi gani usijue kuwa JK ndiye mshindi hata kabla ya uchaguzi!?
   
 4. u

  urasa JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mama tibaijuka ana uwezo mkubwa kiakili na utendaji kuliko jk,mtihani hapa kama kikwete akishinda atampa nafasi gani?huyu mama watu wa kufanya naye kazi ni type ya dr slaa na sio jk,tungoje tuone
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Sasa ndio ameona CCM inafaa hapo zamani Ben alikifungia NGO yao kwa kujihusisha na mambo ya kupinga Sirikali<hata huko kwenye shirika la makazi sio kaacha kwa kupenda HAPANA ni pale aliyekuwa chini yake kicheo kurushwa ngazi na kuwa boss wake,ikumbukwe pia bi Anna alikuwa ndio mwakilishi wa Ofisi ya Umojata wa mataifa pale Gilgil na baada ya muda akambiwa arudi kwenye cheo chake cha awali,kulitokea malalamiko mingi hadi kwenda kwa Moon lakiwa mama akaambiwa huo ni utaratibu tu wa kazi,sasa mama kaona ah isiwe taabu,ngoja nienda kunyumba ,nawambia asingeshushwa cheo asingeenda BKB kugombea ,yote hayo ni sizitaki mbichi hizi,hao ndio WaTZ
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Niko tanzania.mawazo ya kinyakyusa yanachekesha sana
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mkorofi san a huyu mama ndo maana moon kamshusha cheo
   
 8. M

  Mwanitu JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 639
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 80
  Tumpe Ben hongera kwa kugundua mapema hilo.Kumbe zile Ngo,s zilikuwa kweli na political ajenda.
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Well well well well. ... Bunge letu lmekuwa either n sehemu ya RETIREMENT or NITOKE VIPI?

  Niamini MUNGU na mimi - Prof Anna is the like of Kapuya, Maghembe, Sarungi, Mwandosya, E.t.c : They can do better in their professions BUT not in politics!
   
 10. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kuna ukweli mwingi kwenye sentensi yako. Maprofesa waliongia kwenye siasa wamefanya hivyo ili kukwepa aibu ya kuongozwa na vilaza huku wakipewa vijisent vichache, wakienda huko at least wanaweza kukusanya visenti vingi zaidi bila kufanya kazi ya maana. wakiwa wenye taaluma zao wanafanya kazi nzito za maana, mshahara wake ni kudhalilishwa, kupuuzwa na kupewa vijisenti kiduchu. Siasa ni easy sana ujue kuhonga na kudangayna watu. Ni tofauti na kazi za profession zao ambazo unahitaji kutumia akili.

  by the way she is not realy new in Tanznaian politics, not at all

  Tibaijuka naweza kusema kuingia kwakwenye kwenye siasa ni kama kumpotez akwenye taaluma, na she will end up being a demagogue politician just like others. Good at talking, and good at not getting anything going. Do not expect much from her, hata akisema lolote hakuna atakayesikiliza.
   
 11. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  At > 60? A bizarre turn of events !!
   
 12. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tibaijuka anagombea Muleba, siyo Bukoba. Wakenya hawa kwa kujifanya ma-pundit wa mambo ta Tanzania..ujinga tu!
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kuweka mambo sawa ni kwamba mama Tibaijuka tayari ni MP anasubiri kuapishwa tu.

  Ingawa hakuwa anaishi Kagera lakini amefanya mambo mengi sana kwa mkoa huo kupitia nafasi aliyokuwa nayo UN na si hivyo tu amefanya mengi hatak wa miji mingine mingi ya nchi hii. In Kagera she is a hello kiasi kwamba angeweza kugombea jimbo lolote na kupita bila kupingwa. Huyu ndiye kamuondoa Masilingi kwenye jimbo na hata wapinzani wamemkubali.

  Shida yangu inabaki pale pale. Je akiwa ndani ya chama hii mbofu sisi m anaweza kutema cheche?

  Namsubiri kuona anamsaidia rais wangu ajaye Dr Slaa. Najua watakuwa sawa kiutendaji.
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huwezi kutumbukia katika choo cha shimo usipakae mavi. naye atachafuka tu...it is just the matter of time.
   
 15. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usijidanganye, asingeweza kugombea jimbo lolote mkoa wa Kagera akapata! Labda Muleba tu! Watu wa kule nao, si rahisi kihivo!
   
 16. A

  African Member

  #16
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUYU MAMA ANA UZOEFU NA AKILI YA HALI YA JUU. MOSI, SHE IS A GRASSROOTS WOMAN, PILI, VERY PASSIONATE FOR DEVELOPMENT, TATU, INTERLECTUALLY FIT AND QUITE PRACTICAL. KWENYE ULE MKUTANO WA KIUCHUMI ULIOFANYIKA MLIMANI CITY, i RELAY REMEMBER TIBAIJUKA'S FAMOUS STATEMENT " WHEN MAKING DEVELOPMENT POLICIES, POLICY MAKERS SHOULD MAKE A CLEAR DISTINCTION BETWEEN FIGHTING POVERTY AND FIGHTING THE POOR PEOPLE. MOST DEVELOPMENT POLICIES IN AFRICA ARE GEARED TOWARD FIGHTING THE POOR PEOPLE RATHER THAN POVERTY ITSELF. WHEN GOVERNMENT DEMOLISHES PEOPLE'S PROPERTIES/INVESTMENT WITHOUT A GOOD COMPENSATION PLAN AND CHASING THE MACHINGAS AROUND THE CITY, MGAMBO WA JIJI KUKOMBA MBOGA ZA MAMA LISHE IS JUST A PERFECT EXAMPLE IF FIGHTING THE POOR PEOPLE.
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu it is true that she is very intelligent, hilo hakuna anayepinga, lakini kumbuka ameingia katika ccm ya makamba, jk, rostam, etc ndiyo maana ninasema atachafuka tu, whether kwa kuchafuliwa au vinghinevyo au aamue kukaa kimya kama magufuli.
   
 18. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  U can say it again and again Mkuu
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Labda anaweza kukaa CCM bila wizi... Kuna wana CCM wapya kwenye UBUNGE kuwa sio wezi hata kidogo and wamefanya kazi nchi za nje na sio walilia mali... so anaweza kuwa ni mtu wa mapinduzi ndani ya CCM... kama kweli CCM as a party kuona karne mpya...
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  ..........kwa sisi m hii ya makamba na huyu mgonjwa kikwete ni vigumu sana kupiga hatua.............. Akijifanya mjanja watamlia zengwe, kwisha. We subiri tu. Akija na kiherehere cha kujua wanamuita kamati ya maadili ya chama ya bunge na hapo inakuwa mwisho wake katika kulialia kwa ajili ya poverty, anabaki kuondoa poverty yake binafsi na si wananchi.
   
Loading...