Mrs Africa USA 2008 pageant...Nani Zaidi?

Nyasha Zimucha - South Africa

Nyasha02.jpg

southafrica.gif

Amenivutia. Huenda nywele zake ziko ninavyofikiri.
Ningependa kuona picha zake nyingine. Zikipatikana za miaka ya nyuma itakuwa bora zaidi.

.
 
Imat Akelo-Opio - Uganda

imat.jpg

uganda.gif

There is something distinctive about the Ugandans. Rangi ya ngozi na uchaguzi wa rangi ya mavazi yao. It is lovely and aesthetically pleasing.

Vipindi vya waganda kwenye EATV hunivutia sana hasa combination ya rangi wanazochagua. Is it ok to call this pure beauty?

.
 
Lazydog,

the two ladies you have picked are really potraying the image of
an African Woman na hakuna ubishi..ukiongeza na wa-Zimbabwe
basi kazi kwisha!!!
 
]

Hivi kumbe tayari kuna nchi ya South Sudan?

Ni kwamba katika ile agreement kati ya serikali ya Khartoum na SPLA,
waliamua kuwapa nafasi katika serikali and then after some years
(nimesahau ni mingapi), they will hold a referendum on being an
independent republic.

Therefore in preparation naona jamaa wakaamua kua na bendera yao.
 
At the risk of sounding like a libber, there are two abominations that reduces women to objects

Cheerleading and beauty pageantry.

But it is women, and the men who delight in the obstinate overindulgent sensuous feasting on the so called eye candy -with a spin on the pretense of judging not only beauty but also intelligence and charitability- who support this introspective indulgence.

Pray tell, if this be so much about intelligence where are the male equivalent? And why would intelligence require so much manufactured toxic products?

One thing is for sure, that's a sure way to get some more Sarah Palins.
 
Damnnnnnn....!!!! bro, I knew you would go against the grind.
Guess what, you right about it and kudos.
 
Not impressed at all

picha mbona hazionyeshi mwili mzima/

---wangeoneshwa miili mizima bado watu wangelisema mbona hawajawaonesha wakiwa ndani ya swimming costs....and on and on mpaka pale watu watakapodai kisichovikwa!! lol
 
....i dunno, ila huyu kwa namna moja au nyingine ananifanye nimkumbuke Mike Tyson..

Wewe sasa unataka kuleta ugomvi...LOL!

Huyo mwana mama angekua Kenya baada ya zile kura za
mwaka jana sijui ingekuaje kwake maana ana mzazi mmoja mjaluo
na mwengine Mkikuyu...kazi ipo.
 
---wangeoneshwa miili mizima bado watu wangelisema mbona hawajawaonesha wakiwa ndani ya swimming costs....and on and on mpaka pale watu watakapodai kisichovikwa!! lol

Wala hujakosea...binadamu kwa kweli hatosheki.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana dada zetu walioko uko mbele hawasomi..ndio maana hawajaonekana kwenye list hii....yaani kwa maana nyingine....ni kwamba they are not serious katika kusoma kufanya kazi kama wenzao..check burundi,Zimbabwe na kwingine...

wanaonekana wanafanya kitu flani...uko...i always say...uku kwa young age studies ni balaa tupu...most hawafanya kilicho wapeleka.
 
Back
Top Bottom