Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Mbona hiki ni kioja,
Kimsingi Tumepoteza Mweleko hapa Jf,kwa kipindi cha miezi miwili tumekuwa wazungumaji wa hoja dhaifu sana na kama tukiendelea hivi...watu watatupuuza,Meghji kabla ya kuwa waziri ilipewa Ubunge na hii ipo kisheria..sasa tatizo liko wapi?
Mrope anasema hatuwezi kuwa na mawaziri wa kuokota mitaani (wabunge wa kuteuliwa). kwa msimamo wakle yeye mbunge kamili ni yule anayetokana na kupigiwa kura. Samahani kama sikumwelewa vema mheshimiwa sana Mrope