“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

Attachments

  • Screenshot_20230321-183924_Instagram.jpg
    Screenshot_20230321-183924_Instagram.jpg
    351.8 KB · Views: 9
Wanazengo mnamtambua mrembo hapo pichani. Naona anatrend sana mitandaoni ikiewemo IG kiufupi anaonekana kuwa level moja na sanchoka kwenye maswala yalee. Inasemekana anatoka Iringa. Kwa mwenye details zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
MPAKA SASA HIVI HAKUNA ALIYETAJIRIKA KWA KUWA NA MATAKO MAKUBWA.KWA KUJIANIKA.
KWA KIFUPI MATAKO MAKUBWA YANA;
1.FUNGUS ZA MARA KA MARA
2.KUNUKA/HARUFU KALI
3.MZIGO WA KUJITAKIA
4.KUWA MTUMWA WA KUISHI MAISHA YA WENGINE(KILA MTU UNAFIKIRI ANAKUANGALIA WEWE NA MATAKO YAKO!)

NDIO MAANA WANAUME TULIOFANIKIWATUNA, NA HATUHANGAIKI NA WA HIVYO.
 
Yaani bongo ukiwa na matako makubwa tu na kupiga mapicha ya uchi tayari ni star unapewa airtime hadi kwenye media..huu upumbavu wa awamu ya tano inatakiwa ukemewe kwa nguvu zote kwa faida ya vizazi vijavyo
Nakupinga kidogo media ndizo zinakosea na mamlaka kutoweka mikazo kwenye sheria media wanaangalia nn kitawapaisha wafuatiliwe na washajua watu wanapenda hayo mambo lazima wayape airtime
 
MPAKA SASA HIVI HAKUNA ALIYETAJIRIKA KWA KUWA NA MATAKO MAKUBWA.KWA KUJIANIKA.
KWA KIFUPI MATAKO MAKUBWA YANA;
1.FUNGUS ZA MARA KA MARA
2.KUNUKA/HARUFU KALI
3.MZIGO WA KUJITAKIA
4.KUWA MTUMWA WA KUISHI MAISHA YA WENGINE(KILA MTU UNAFIKIRI ANAKUANGALIA WEWE NA MATAKO YAKO!)

NDIO MAANA WANAUME TULIOFANIKIWATUNA, NA HATUHANGAIKI NA WA HIVYO.
Eti tuliofanikiwa hahahah,huu mwandiko uliojaa njaa,Nakupa onyo la mwisho kaa mbali na wapenzi wetu wenye MATAKO MAKUBWA
 
Eti tuliofanikiwa hahahah,huu mwandiko uliojaa njaa,Nakupa onyo la mwisho kaa mbali na wapenzi wetu wenye MATAKO MAKUBWA
HONGERA SANA MKUU

NINA JIRANI YANGU HAPA ANA KALIO, AKIJAMBA LEO JUMATANO HARUFU UTAISIKIA IJUMAA JION
 
Back
Top Bottom