Mrisho Mpoto

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Huyu ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaweza kuipa heshma Tanzania

Namkubali sana huyu jamaa lakini sina profile yake kama yupo mwenye profile yake atuletee

Hivi ni grad wa chuo cha sanaa Bagamoyo au? Hivi huyu hakuwa na lile kundi la TATU NANE?

Je ni mtaalam wa muziki au threatre performance pia?

I wish mtu kama huyu akawa na International platform au akawa na chuo chake chenye kuproduce wasanii wenye calibra yake au zaidi

I wish to know more about this brother..je ana wesbite?
 
Huo ndio tunaita umbea we profile yako mbona hauweki unatafuta za watu...watanzania ndio maana hata huwa hatuendelei kufuatilia mnaisha ya watu
 
Kwa nini unauliza, kwani wewe unadhani vipi, sorry... lakini swali lako halina maana.
 
dah wa kwanza tu akianza kuchangia kwa kuponda basi wenda.wazimu wengine wote wata support...huyo ni star huyo ni celebrity sio sawa na mwananchi wa kawaida kama wewe mwana JF Gabraison jr na wengine sio kuhamasika kutaka kujua profile yake sio jambo la kushangaa...watanzania tuna matatizo sana kwa kweli,i mean wana JF tuna matatizo makubwa ya kuropoka ropoka,sio lazima uchangie wakati mwingie unaweza ukasoma tu kisha ukasepa zako
 
huyu ni celebrity, kuulizia profile yake actually ni kumpaisha! mbona tunawajadili hapa wa kina rihanna na nyimbo zao?
Huo ndio tunaita umbea we profile yako mbona hauweki unatafuta za watu...watanzania ndio maana hata huwa hatuendelei kufuatilia mnaisha ya watu
 
well kaka mwenye thread nakushauri jus google mrisho mpoto au tembelea bongo celebrity profile utapata full data za huyu mtu hadi na blog yake na taharifa nyingine zinazomhusu...pole sana kwa majibu ya waropokaji waliotangulia...
 
ombi lako ni zuri lakini umeuliza kishalobaro mno
mkuu hapa jamvini kuna watu marika yote,ukitaka kujua kitu kama kweli upo serious jipange vizuri halafu leta post yako
 
Miji2 mingne bhana. Akiponda mmoja mingne yafata km nyumbu mto mara. Kwani kujua profile ya mpoto dhambi? Mbona kawaida sana kwa staa km huyo?
 
Miji2 mingne bhana. Akiponda mmoja mingne yafata km nyumbu mto mara. Kwani kujua profile ya mpoto dhambi? Mbona kawaida sana kwa staa km huyo?
<br />
<br />
sabry i wish u were a man nikwambie fck them...
 
Huhitaji zaidi ya maelezo kumjua mpoto,mshairi,mwanamuziki,mwanaharakati na tuna kila sababu ya kujivunia
 
kaka hao ni kama watoto wa mbuzi, ukiweka kamba watairuka na wanaokuja wote watafanya hivyo kibaya ni kwamba ata ukiitoa wanaokuja wataendelea kuruka.
 
anajitahidi ila kuna katoto fulani hivi kako mwananyamala huwa anakazukia sijui alishakaacha au bado yupo nako..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom