Nadhani umesahau ule usemi usemao(NABII HAKUBARIKI KWAO)ukistahajabu ya mussa utayaona ya firauni,gwiji la kiswahili nchin nd. mrisho mpoto alienda kuiwakilisha kenya kwenye tamasha la kiswahili,dili hilo alipewa na taasisi ya kiswahili kenya,kenya wenyewe walikiri kwamba kiswahili hawakiwezi vizuri kwhyo ikabdi wamtafute mrisho akawawakilishe kwa masharti ya kujitambulisha kwamba yeye ni mkenya na si mtanzania.
Source:EA RADIO-LIVE INTERVIEW
Alichokifanya si uungwana, hadhi aliyonayo haikustahl kukana Taifa lake
hakuna cha kustaajabu hapa,
kenya ni wajanja
kama mlima wenu wanasema ni wao, sembuse mrisho, lol,
nchi yangu Tz, nilikupenda kwa moyo wote.
Na usishangae Mpoto ni std VII tu,hajawahi hata kusoma'' sarufi ya Kiswahili'' lakini kipaji chake kikubwa tunakibeza hapa Tanzania,lakini wenzetu hapo jirani kenya wameona Mpoto ni lulu,wasomi wetu wako CCM wanakimbiza shilingi,kuddos Mpoto ukiitwa tena nenda sisi Wa Tz ni watu wa kukatishana tamaa,na ungewaambia hata Marekani ungetaka ungewakilisha kwani wanaujua uwezo wakoukistahajabu ya mussa utayaona ya firauni,gwiji la kiswahili nchin nd. mrisho mpoto alienda kuiwakilisha kenya kwenye tamasha la kiswahili,dili hilo alipewa na taasisi ya kiswahili kenya,kenya wenyewe walikiri kwamba kiswahili hawakiwezi vizuri kwhyo ikabdi wamtafute mrisho akawawakilishe kwa masharti ya kujitambulisha kwamba yeye ni mkenya na si mtanzania.
Source:EA RADIO-LIVE INTERVIEW
kwa hiyo na yeye alipofika huko akaukana utaifa wake na kujitambulisha ni mkenya?
Unajua wakati mwingine njaa isitufanye tukawa vichaa, sasa unaenda kujitambulisha wewe ni mkenya wakati ni mtanzania? Huu ni upumbavu.
Huo ni upumbavu ni kweli tuna matatizo lakini hatutakiwi kufika huko hasa mtu kama mpoto ambae anaelewa yote haya,amejidhalilisha sana,kila taifa lina changamoto suala ni kuzishughulikia na si kutanguliza tumbo mbeleWe kujitambulisha mtanzania unafaidika na nini?
,Hela isikufanye ukapoteza utu na heshima yakoUnacheza na hela nini?