Mrisho Mpoto aiwakilisha Kenya kwenye Tamasha la Kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrisho Mpoto aiwakilisha Kenya kwenye Tamasha la Kiswahili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, May 22, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  mpoto.jpg

  Ukistahajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, gwiji la kiswahili nchini ndugu Mrisho Mpoto alienda kuiwakilisha Kenya kwenye Tamasha la Kiswahili, dili hilo alipewa na Taasisi ya Kiswahili Kenya.

  Kenya wenyewe walikiri kwamba Kiswahili hawakiwezi vizuri kwhyo ikabdi wamtafute mrisho akawawakilishe kwa masharti ya kujitambulisha kwamba yeye ni mkenya na si Mtanzania.

  Chanzo: EA RADIO-LIVE INTERVIEW

  ============

  Mrisho Mpoto afafanua kuhusu madai ya kuisaliti Tanzania na kuiwakilisha Kenya Ughaibuni..

  Tazama kuanzia Dk ya 19:00

   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo na yeye alipofika huko akaukana utaifa wake na kujitambulisha ni mkenya?
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  basi abaki huko huko kenya si ameshatukana...
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  mweeee kweli life imekuwa tight mtu anaukana utaifa wake khaaaa\
  cjui kama tutafika?
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Namuunga mkono 100%. kama Mkwer.e hataki kuiona sura ya Mpoto kwenye occasion yoyote kwa madai eti anaisema vibaya serikali ya Mjomba, sasa mnataka afanye nini? wapo wanaoona umuhimu wa Mpoto ikiwa nyie watanzania na rais wenu hamuoni umuhimu wake katika fani ya sanaa na lugha.
  Hongera Mpoto
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  hakuna cha kustaajabu hapa,
  kenya ni wajanja
  kama mlima wenu wanasema ni wao, sembuse mrisho, lol,
  nchi yangu Tz, nilikupenda kwa moyo wote.
   
 7. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Safi hata me nimewahi sikia hii habari ya Mrisho lkn yote haya anayaleta Baba Mwanaasha anaamponda sana big up kaka endelea hvy hvy tu!!
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Uko wapi uzalendo wa mtz huyo? Thamani ya mang'amuzi yake huru iko wapi? Inasikitisha sana na inahuzunisha!

  Siilaumu Ikulu lakini moja kwa moja lawama nazitua kwa Mpoto nilieamini ni mmoja ya wazalendo wa kweli duniani na ambae damu yake yaweza kuwa chocheo la waliogizani! Hakika ametutweza kimsonge na majuto ni sasa,
  HIMA turejee kizalendo itupasavyo!

  Ili uwe mzalendo wa kweli ni lazima uifie nchi yako sio kuukana utaifa wako kwa mizania ya Ikulu
   
 9. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni kweli huyu baba mwanaasha atatuangamiza.
   
 10. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  anafanana nao zile sura za mpoto TZ hatuna!sura nzito kama zile Kenya zipo nyingi
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yeah aliukana kabisa maana walimpa warning akienda tofauti na mkataba(kujitambulisha yeye ni mtanzania) hawatompa hela hata sumni amefanya matamasha ma3 barani europe pia anatarajia kupelekwa tena bara la asia kuiwakilisha kenya ktk lugha ya kiswahili.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Na yeye kwa kupenda uzalendo imemuuma sana iweje wakenya ndio wanatambulika duniani kwamba wao ndio wamiliki wa kiswazi? Amelalamika kwamba wakenya wanasema watanzania wamelala usingizi,analalamika taasis za kiswahl,bakita,kitengo cha kiswahl udsm kinafanya nini?
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Inauma sana ndugu,
  Mimi nimekuwa nikiwafunza wakenya wengi sana kiswahili, na wanasema wazi kuwa wao walikuwa hawakijui vema!
   
 14. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Wapi na lini sisi waTZ tunakienzi Kiswahili? Sasa mnataka Mpoto akae hapa aoze wakati kuna opportunities na wapo watu (wakenya) ambao wanajua kuzitumia? Uzalendo gani huo? Ndiyo sababu mnaogopa kuomba kazi/ajira kwenye taasisi za kimataifa halafu mnakaa kulalamikalalamika tu. Mnakumbuka kwenye mkutano mmoja wa AU kule Addis Ababa Rais Chisano wa Msumbiji alitoa hotuba yake kwa Kiswahili lakini mtanashati wetu akang'ang'ania kuchapia Kiingreza kwenye mkutano huo huo? Na tunapokazana kufundisha na kujifunza kwa Kiingereza ambacho dhahiri hatukiwezi tena (post za hapa JF ni kielelezo tosha) tunaweza kupata elimu au maarifa kwa kutumia lugha tusiyoiweza?
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Alichokifanya si uungwana, hadhi aliyonayo haikustahl kukana Taifa lake
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kuna tatizo??? huoni kama ni shujaa sana na inabidi na wewe umuige....
   
 17. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  dah inaniuma sana nalia sasa hivi iiiiih,ihhhh!
   
 18. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Piga hela baba, utang'ang'ania uzalendo ufe na njaa? We msanii bana, mbona hata Afande alimsaliti Sugu alomwingiza kwenye game sababu ya mkwanja wa claudz!
   
 19. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  hii story sio genuine inamaana hao waendesha mashindano hawana hata random check ya kuthibitisha uraia wa washiriki, je mrisho alienda na passport ya kenya?? Unless uraia katika hilo shindano hauna maana sawa na uraia kisheria. Otherwise its too obvious kuwa Mpoto ni mswahili na any reputable kenyan sector haitakubali kujiharibia jina cheaply hivyo....unless ni mashindano uchwara tu.....
   
 20. Ezsdon

  Ezsdon Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Tanzania kaiwakilisha nani?, sekta husika ilitia mkono au kuona tu, ama kutambua mchango wa Mrisho Mpoto kwenye sanaa, fasihi na kishwahili?. Mpoto alifanya MJOMBA..Mpoki akafanya shangazi na akapata tuzo ya kili kama nyimbo bora ya asili.. (Hakuna uwiano). Kama tumemlilia mafisango akiwa mkongo mwenye uraia wa nchi nyingine,Wacha mpoto akawakilishe kwa wanaothamini uwezo, fikra na kipaji chake.
   
Loading...