Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,621
Hivi tumefikia hapa kama jamii kwamba kwamba mtu anazawadiwa kwa kufanya kosa la jinai.
a. Hivi mtu kufoji vyeti kuomba kazi hii ni sawa?! Basi na mimi ngoja nitafute milioni zangu niende mzumbe wakanitengenezee cheti cha PHD ili nionekane msomi wa level hiyo.
b. So tunataka kuwafundisha watoto na wajukuu zetu kuwa ni sawa kufoji vyeti ili kupata kazi. Na reward ya mtu anaefoji vyeti baada ya kugundulika ubadhilifu wake ni kupewa mafao yake na stahiki sawa na mwenye vyeti halali....?!
Sawa sawa hii dunia ni ndogo sana kukaa na watu wapumbavu kwakweli.