Mrisho Gambo kufanya ziara Longido. Je, huu ni mfano wa kuigwa?

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
13eaec8658658d12be237f79296c4f85.jpg

Amekuwa akitumia mtandao wa Facebook kazungumza na wananchi, kuwahabarisha mambo mbalimbali. Mimi huwa namchukulia kama ni mbunge wa mkoa mzima wa Arusha Kwa jinsi anavyopambana..

Humphrey Polepole alikuwa na tabia kama hii Lakini naona siku Hizi kapotea mitandaoni. Sijui amejifunza nini?

Mfano mwingine wa Kiongozi ambaye anapenda Social Media ni Mh Zitto Kabwe.

Je hii ni moja ya ishara kuielewesha mamlaka ya Uteuzi kuhusu faida /Matumizi ya mitandao ya kijamii ambayo karibia malaika wasikie maombi ya waja wake??

Tuachane na hayo. Mh Gambo itumie Facebook vizuri. Lakini inaweza kuwa na hasara kwako pia hasa katika siasa za kuchafuana.

The next Mbunge wa Arusha Mjini (Maoni binafsi)

Uongozi unaoacha Alama..
 
Kina Mr Ebbo siku hizi wanatumia fb atapata tu keroo zao kwenye fb wala asiende huko abane matumizi ya mafuta ya gari.
 
[QUOTE="Ethos, post: 18155108, Mimi huwa namchukulia kama ni mbunge wa mkoa mzima wa Arusha Kwa jinsi anavyopambana..

Humphrey Polepole alikuwa na tabia kama hii Lakini naona siku Hizi kapotea mitandaoni...

Huu ndio unafki wa Watanzania, Anapambana nini? Labda anapambana kuua Upinzani.

Kosa moja lisifanye tukose kuona zuri analofanya
 
Si anazipata ndio aende kuzitatua?
Anaenda dawa au anaenda kuongea tena , Anaenda na vitendea kazi vy mahitaji au anaenda kuwapa sera ya chama tu.

Kuongea na kutatua kero ni vitu viwili tofauti mkuu yeye akienda wala hatobadilisha kitu kama hajapelekea vitendea kazi vya kutatua hizo kero.
 
Kijana ana Bumisha kick za watu
Pamoja sana Bwana mdogo Gambo
Piga kazi
 
Anaenda dawa au anaenda kuongea tena , Anaenda na vitendea kazi vy mahitaji au anaenda kuwapa sera ya chama tu.

Kuongea na kutatua kero ni vitu viwili tofauti mkuu yeye akienda wala hatobadilisha kitu kama hajapelekea vitendea kazi vya kutatua hizo kero.
Ni lazima ujue Geographia ya sehemu unayoiongoza...
 
13eaec8658658d12be237f79296c4f85.jpg

Amekuwa akitumia mtandao wa Facebook kazungumza na wananchi, kuwahabarisha mambo mbalimbali. Mimi huwa namchukulia kama ni mbunge wa mkoa mzima wa Arusha Kwa jinsi anavyopambana..

Humphrey Polepole alikuwa na tabia kama hii Lakini naona siku Hizi kapotea mitandaoni. Sijui amejifunza nini?

Mfano mwingine wa Kiongozi ambaye anapenda Social Media ni Mh Zitto Kabwe.

Je hii ni moja ya ishara kuielewesha mamlaka ya Uteuzi kuhusu faida /Matumizi ya mitandao ya kijamii ambayo karibia malaika wasikie maombi ya waja wake??

Tuachane na hayo. Mh Gambo itumie Facebook vizuri. Lakini inaweza kuwa na hasara kwako pia hasa katika siasa za kuchafuana.

The next Mbunge wa Arusha Mjini (Maoni binafsi)

Uongozi unaoacha Alama..
The next mbunge wa Arusha? Muache aweke jina lake aone watakachomfanya. Chezea Arusha siyo kwingine
 
Yaani hadi Kuna watu hawalali

Mkuu naomba ufafanuzi

Tuweeke mambo muhim japo matatu aliyoyafanya nakuyakamilisha kwa ubunifu wake binafsi kwa ufanisi nakuleta tija kutushawishi kuwa yeye ni mpiganaji
 
Back
Top Bottom