Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo kuangukia pua asubuhi na mapema

Bahati mbaya sana tabia za wapiga kura wa arusha huwa hazibadiliki,hawaendi kwenye kampeni,hawasikilizi sera,wala hawataki kumjua mgombea!! Wao wanajua tu kupigia kura upinzani!!yaani maamuzi wanakuwa nayo kwenye macho na vidole vilivyoshika kalamu ya kutiki sehemu husika tu,kumbuka kuwa mara ya mwisho mgombea ubunge wa ccm alishinda arusha kihalali ilikuwa ni enzi ya kanali Kinana!! Tokea hapo hakujawahi kuwa na mbunge halali wa ccm arusha!! Na tatizo la ccm arusha wala si vyama pinzani,bali ccm wenyewe!!felix mrema alimhujumu Batilda buriani mchana kweupe,leo wagombea wa ccm waliokatwa wapo upande tofauti na mgombea wao,hawataki hata kumsikia!!unadhani kuna ushindi hapo? Labda kwa wizi.
Umenifumbua macho kidogo mkuu nashukuru
 
Lema bado ananguvu Arusha hili halikwepeki. Kubwa zaidi Gambo anavisiasa vya kushindanashindana jambo ambalo watu wa Arusha hatulipendi.
 
Sisi watu wa Arusha tunasimama na lema ur alright with your statics kitakachomponza Gambo ni elimu yake yauvuvi
 
Back
Top Bottom