Mrisho Gambo awapongeza madiwani wa Monduli.


sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
6,146
Likes
1,505
Points
280
sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
6,146 1,505 280
Mrisho Gambo
Nitumie fursa hii
kuwapongeza Wilaya ya
Monduli kwa kuridhia
rasmi shamba la Manyara
Ranchi riludi kwa
wananchi. Nalipongeza
Baraza la Madiwani la
Monduli lilokaa na
kuridhia maelekezo
yangu ya kuwaomba
waweke mbele maslahi
ya wananchi wetu. Kwa
pamoja tutafika!
Monduli ni yetu sote!
 
sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
6,146
Likes
1,505
Points
280
sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
6,146 1,505 280
Nataka kujua tatizo ni Gambo hapendi kufanya kazi na upinzani ama Lema ndiye hataki kufanya kazi na Gambo?
 

Forum statistics

Threads 1,273,091
Members 490,268
Posts 30,470,990