Mrisho Gambo: Arusha shwari Hakuna Corona

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
“Taarifa zilizosambaa hivi punde za kuwa kuna Mtalii Raia wa China amewekwa chini ya ulinzi maalum kwa kuwa ana dalili za ugonjwa wa “CORONA VIRUS” kwenye Hotel ya River Tree Wilayani Arumeru sio za kweli” - Mrisho Gambo, Mkuu wa Mkoa Arusha.


“Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imefuatilia kwenye hotel tajwa (kuwa kuna Mtalii Raia wa China ana dalili za corona) na kukuta hakuna mgeni yeyote Kwenye hotel ya River Tree anayetoka China wala Bara la Asia kama tetesi zinavyosema”- RC Gambo

“Mkoa wa Arusha na Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto tumejipanga ipasavyo kuhakikisha kuwa hakuna mtu yeyote mwenye dalili za ugonjwa wa “CORONA VIRUS” anavuka kwenye Mipaka ya Nchi yetu! pia hali ya usalama wa Watalii na Raia ni Shwari”- RC GAMBO
FB_IMG_1582914894836.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza sana kipumbaavu na hii Akili Yangu Ya Darasa lasaba( C)

inakuaje Serikali inazuia Ndugu Zetu karibia 400 Walio China Kurudi Tanzania ilhali tunaruhusu watalii wakichina Zaidi Ya 100 Kuja kuzuru Tanzania

Huku Nchi Kubwa Kama Marecan imeweka vizuizi na kufunga Mipaka yake??

Nawaza sana Mjinga Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Serikali hii ya awamu ya 5 Inataka pesa kwa njia yoyote ile.
 
Najiuliza sana kipumbaavu na hii Akili Yangu Ya Darasa lasaba( C)

inakuaje Serikali inazuia Ndugu Zetu karibia 400 Walio China Kurudi Tanzania ilhali tunaruhusu watalii wakichina Zaidi Ya 100 Kuja kuzuru Tanzania

Huku Nchi Kubwa Kama Marecan imeweka vizuizi na kufunga Mipaka yake??

Nawaza sana Mjinga Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye kuwarudisha huku wa tz sio kwamba serikali imegoma hapana wuhan hairuhusu mtu kutoka au kuingia kwenye huo mji ivo huwezi watoa hata mataifa mengine hawawezi watoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom