Duh,harakati za uchaguzi zimeanza mapema hivi?Akiongea na umma kwenye uzinduzi wa bodi ya maji Arusha( AUWASA) amesema ikifika mwaka 2025 haoni sababu ya kuacha kuhudumia wana Arusha kwani uwezo anao sana na wamemkubali sana wana Arusha kwa huduma anayowapa kama mwakilishi wao