Mrisho Gambo anogewa na Ubunge. Kugombea tena 2025

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Akiongea na umma kwenye uzinduzi wa bodi ya maji Arusha( AUWASA) amesema ikifika mwaka 2025 haoni sababu ya kuacha kuhudumia wana Arusha kwani uwezo anao sana na wamemkubali sana wana Arusha kwa huduma anayowapa kama mwakilishi wao
 
Mjengoni ni kula kiyoyozi tu kugonga meza na kusaini makabrasha ya hapa ba pale siku imepita. Utaachaje kuona sababu ya kuwatumikia wana arusha bana
 
Yeye na mwenzake wa Arumeru Mashariki hamna kitu, wameshindwa kuweka mipango sawa taa za barabarani ziwake hasa barabara ya Sakina -Tengeru!! Ni aibu barabara inayopokea wageni wanaoingia kupitia Kia...
 
Akiongea na umma kwenye uzinduzi wa bodi ya maji Arusha( AUWASA) amesema ikifika mwaka 2025 haoni sababu ya kuacha kuhudumia wana Arusha kwani uwezo anao sana na wamemkubali sana wana Arusha kwa huduma anayowapa kama mwakilishi wao
Duh,harakati za uchaguzi zimeanza mapema hivi?
Hapa hatuwezi kuwa salama
 
Back
Top Bottom