Mrisho Gambo ajijue yeye sasa hivi ni Mbunge sio Mkuu wa Mkoa tena

Nitoe tu angalizo kwa wabunge na hasa Mrisho Gambo wa Arusha mjini chapeni kazi bila kujihangaisha kuwafunika watangulizi wenu.

Kwa sasa mchuano ni baina ya Watendaji wa CCM na wanasiasa wa CCM hivyo msipokuwa waangalifu mtaleta mgawanyiko usiokuwa wa lazima ndani ya chama.

Maendeleo hayana vyama!
Sisi tunataka maendeleo kama ya ULAYA . Kumbukeni mliahidi

Odhis *
 
Kuna mwingine anajiita polepole keshajiona ni waziri eti nae siku hizi anakagua miradi na kuzindua.

Ahaaaa ahaaaa, halafu ukimbana anatumia sheria gani, anakimbilia kujificha kwenye kichaka cha kusimamia ilani ya ccm!
 
Hahahaaaa....... Muosha huoshwa!

Halafu kale kaDC ni kanyalu ka kihesa.
Yule DC anachapa kazi kweli kweli, Ila anaangushwa na yule dada Irene ndosi na afsa tarafa anaitwa Felician. Yule dada anaonea wananchi Sana, wale wanasheria wamewekwa pale na DC wanaisaidia wananchi yeye akiona Kuna issue Ana interests nazo haswa kama tajiri kamwonea maskini, anakuja macho makavu anahakikisha huyo mnyonge hapati haki yake. Same applies to huyo tarafa anaitwa Felician. Lao ni MOJA. Kenan Kama unasoma hapa wape warning hao wafanyakazi wako ama wahamishie. Malalamiko ya wananchi ni Mengi Sana zifi yao. Wanamuharibia Dc na wanam-mislead pia
 
Kenani namuona anapita pita hapa nadhani amekusikia!
 
Nitoe tu angalizo kwa Wabunge na hasa Mrisho Gambo wa Arusha mjini chapeni kazi bila kujihangaisha kuwafunika watangulizi wenu.

Kwa sasa mchuano ni baina ya Watendaji wa CCM na wanasiasa wa CCM hivyo msipokuwa waangalifu mtaleta mgawanyiko usiokuwa wa lazima ndani ya chama.

Maendeleo hayana vyama!
Embu mwacheni jaman ..watu wamemchagua yeye.
 
Nitoe tu angalizo kwa Wabunge na hasa Mrisho Gambo wa Arusha mjini chapeni kazi bila kujihangaisha kuwafunika watangulizi wenu.

Kwa sasa mchuano ni baina ya Watendaji wa CCM na wanasiasa wa CCM hivyo msipokuwa waangalifu mtaleta mgawanyiko usiokuwa wa lazima ndani ya chama.

Maendeleo hayana vyama!
Gambo anafanya kazi nzuri sana ya kuanika maovu ya CCM.
IMG-20210117-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom