Mrembo wa Tips lounge aliyenifanya nikaokoka

Ww nae una swaga za kizaman yan nitoe pesa yangu kupanda ndege ili demu anione ninazo ni ushamba yan hela ya kusuka 60000 wakat huo huo ww unakunywa chai ya rangi na chapat mbili hahaha
 
Kicheche wa tips nimle kwa laki mbili haitotokea(wengi ni Malaya wachafu wa uswazi Ila wakifika Kule wanajikuta wakishua)Bora ninywe bia tu niwake nikasiz...!
 
Nyie ni ya aina ya watu mnaotufanya wasukuma tuonekane washamba mjini "unapanda ndege ili upige picha demu akuone ka sio ushubwada ni nn"
 
Back
Top Bottom