Mrembo wa Tanzania aliyeshiriki mashindano miss World

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,602
Fainali za mashindano ya 'Miss World' zinafanyika leo nchini China, na Tanzania tunawakilishwa na mrembo Julitha Kabete.

Neno moja kwake kumuombea heri
ebab1e05d100aff1b79fda4d868ec316.jpg
 
Mkuu tecno camera inakudanganya na hata hivyo ukionana nae hautaamini,na hapo kwa msaada wa tecno nywele zimepunyuka kiuhalisia ukimwona utafikiri kuku wa mayai akitaga kwa muda mrefu manyoya yanavyochomoka.
 
Miss World 2017, the 67th edition of the Miss World pageant. was held on 18 November 2017 at the Sanya City Arena in Sanya, China. 118 contestants from all over the world competed for the crown. Stephanie Del Valle of Puerto Rico crowned her successor Manushi Chhillar of India at the end of the event.
 
Kenya imefanikiwa kuingia Top 5 Miss World 2017. 1. England 2. France 3. India 4. Kenya 5. Mexico
 
Mkuu tecno camera inakudanganya na hata hivyo ukionana nae hautaamini,na hapo kwa msaada wa tecno nywele zimepunyuka kiuhalisia ukimwona utafikiri kuku wa mayai akitaga kwa muda mrefu manyoya yanavyochomoka.
Ahahhaha aiseee
 
Aisee c kwa uchambuzi huu mkuu umetisha
 
Back
Top Bottom