Mrembo wa Tanzania aingia fainali za Beauty With A Purpose Miss World

Binti255

Senior Member
Nov 28, 2016
126
160
Mrembo wa Tanzania(Miss Tanzania)2016, Diana Edward, ameingia kwenye fainali za shindano la Beauty With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World.

Beauty With A Purpose huhusisha miradi mbalimbali ya kijamii ambayo hufanywa na washiriki wa Miss World. Diana amewasilisha documentary ya masuala ya ukeketaji kwenye jamii ya watu wa Masai.
Fainali za Miss World mwaka zitafanyika December 18, nchini Marekani.
[HASHTAG]#TumpigieKura[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BintiMzalendo[/HASHTAG]
Diana Miss Tanzania.jpg
miss world with.jpg
 
Umisi na mziki night uhuni. wewe binti kamwe usiolewe name polisi na waendesha malori no wahuni
 
Back
Top Bottom