Mrembo Miss pwani amzimia Mheshimiwa Sugu

quote_icon.png
Originally Posted by Iza
Itabidi itafutwe maana nyingine ya neno "Mrembo"...

Hakika, huu ni upotoshaji
 
attachment.php

Lakini kama vipi unaweza kufunika gazeti usoni ukaendelea na mapambano. Maana nyama za hivi huwa ni tamu kweli kweli si mchezo.
 
Mwacheni dada wa watu! Hajawasema, hajawatafuta. Mnapoteza dhana nzima ya kuwa WATU MAKINI!
 
Jamani ee huyu dada Miss Pwani kaulizwa swali, kajibu... sasa haya mengine ya ooh mbaya ana sura kama nini? Kama hujaipenda sura yake hilo siyo tatizo lake ni lako wewe, tuwe na staha, let's not stoop this low...no wonder someone wisely said beauty lies in the eyes of the beholder. Vilevile kusema eti alikuwa wapi kabla Sugu hajaupata ubunge si kumtendea haki, kwani aliulizwa hilo swali lini na kwanini? Tuwe makini jamani, JF is supposed to be the home of great thinkers, not bullies or bashers!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom