Mrembo Huddah katokelezea uzuri na vazi la ufukweni!!!

Katokelezea vzr au kakaa uchi??kila mwanamke akiamua kutokelezeq na chupi tu lazima ataonekana mzr,tuwafundishe Dada zetu kupendeza siyo lazima kukaa uchi
 
Aka ka demu kana macho madogo kama ya mchina
Ila kanajua urembo kwa sura ni kabaya
 
Mkuu hebu tuleteee ka picha kamoja ka unayemkubali sana

Anyway, labda niseme tu kuwa macho hutofautiana mkuu ila honestly mi mwanamke kama hajanona akawa na mafuta mafuta. Kama wee ni mbantu utakuwa umenielewa vizuri mkuu.
 
Anyway, labda niseme tu kuwa macho hutofautiana mkuu ila honestly mi mwanamke kama hajanona akawa na mafuta mafuta. Kama wee ni mbantu utakuwa umenielewa vizuri mkuu.

Sawa mkuu nimekuelewa ila ungetupia ka picha wale wa aina yako tutakuelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom