Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hahahahaaa! Akisha chambwa ndo ataona rahaaa ya kushabikia kitu. Rangi tu, mtandao atauona mchungu, amulize mama maprado kama internent anaitamani.

Mnachonichekesha ni kitu kimoja tu, mkishadadia nyie ni halali ila wengine aaaah haramu eeeh!!!! Wacha weeee!!

Kama mtandao akiuona mchungu kuna leba ataenda kujifungua uchungu uishe then mtandaoni kama kawizi ama nenee!!

Kiufupi sijaona la mno la kuogopewa zaidi tupeni burudani tu sie tujichekee !
 
anataka kusifiwa sa hivi anavyo mchamba Linda anataka asifiwe
ukisema kinyume utaona jibu lake au BAN ya milele inakuhusu................

Mie nilienda huko kwenye blog yake, nikamwambia ukweli wala sikumsifia na matusi yake. Aliupata ukweli hadi kaamua kuniblock kwenye blog yake. Nikitumia laptop sipati blog, ila kwa simu naipata.

Huyo Mange na Linda wote machizi, wanawake gani hawa kutwa kutukanana hadi wanatusi na vizazi vyao. Hawana akili kabisa , na huyo mange namshangaa na masters yake, labda fake.
 
Mnachonichekesha ni kitu kimoja tu, mkishadadia nyie ni halali ila wengine aaaah haramu eeeh!!!! Wacha weeee!!

Kama mtandao akiuona mchungu kuna leba ataenda kujifungua uchungu uishe then mtandaoni kama kawizi ama nenee!!

Kiufupi sijaona la mno la kuipewa zaidi tupeni burudani tu sie tujichekee !

Burudani nenda ule uzi wa Blogger amuua mtu sijui huko habari na hoja mchanganyiko! Fake degree zimekuwa BUSTED hatariii. Kuliwaka leoooo kule.
 
Good! Dogo langu lenyewe hiloooo! I cant be more proud of you! Maneno hata kwenye khanga yapo, kitu BIAAAAAAAAA!!!!!!!!!! Kesho ukuje na zawadi ya mtoto. We love you! Mwaaaaaaaah!

Hahahahaahahaha, nimepita baby shop mbona Leo, kesho mapema nipo huko.
 
Kule kwenyewe kazi nishamalizaaaaaaaaaa! Uwanja shwariiiiiiiiiiiii! Kupo kimyaaaaaaaaaaa!

Nilikuwa nakuonaga mjanja kumbe wewe ni ----- kiasi hichoo. Umechokonoa watuu ili upate chance yakujionyesha unajua kuchamba bahati nzuri jamiiforum kuna great thinkers wamekupuuzia tuu.


Unichambe wima wima univue uanaume ha ha ha kwelii wewe akili yako haiko sawa mange na uyoo linda ndo wamekudanganya uanaume unavuliwa kwa herefuu za kuandika mtandaoni?
 
Nilikuwa nakuonaga mjanja kumbe wewe ni ----- kiasi hichoo. Umechokonoa watuu ili upate chance yakujionyesha unajua kuchamba bahati nzuri jamiiforum kuna great thinkers wamekupuuzia tuu.


Unichambe wima wima univue uanaume ha ha ha kwelii wewe akili yako haiko sawa mange na uyoo linda ndo wamekudanganya uanaume unavuliwa kwa herefuu za kuandika mtandaoni?

Hahahahaaaaaaa! WANANIPUUZA wasingekuwa wananiita kwa quote na mention. Mwanaume gani Anachambanaaa? Hilo litakuwa punga tu, ndo zao kuchamba vidole juu.
 
Naskia mmenichamba kwa Sinte sijuiiii! Hahahaaaaaaaaa! Mnanipa umaarufu kunuka tu. Kwanza siingiagi hata kukatisha sikaishi, Blog gani ya mtu ninaejielewa kuingia, kama vipi mlipie mkanichambe Clouds kabisaaaaa. Na alewachma kwa Mange sio mimi huyooo, sina muda huoooo wa kuwapa umaarufu afterall nisingeweza kumchamba Matola of all people. Mnamalizana wenyewe kwa wenyewe.
 
hahahahaaaaassss watuuu pipoooooooo
mpoooooo haya ila lara na wenzenu hebu acheni mikwara bubu bwana
mnitafute facebook kwikwikiweee
halafu yani mnaotea otea sana hamna ht uhakika na mnachoongea nasubiri kichambo mniongezeeee umaarufu
ila kichambo chenu ni cha anonimas sasa maana ht mfanyeje hamtonijua mmebaki na labdaaaa...
labda mumloby dinazarde km atakubali
ila na ye ndo mke muuza samaki sasa dohooo

Tuassume labda wamekujua kimfano......kichambo chao hao watoto wa mamillionaire kinakupeleka segerea au??

Hihihihiiiiiiiii......cheko la kikapuku!!!
 
Hahahaaa kisa ni hilihili saga la mange na linda??Mabwakuuuuu!

Kisa watu kuacha kuchamba humu celebrity kwenda kuchamba kwa nani sijui na kwa blog ya Mange. Siuku hizi watu wanaenda kuchambi ma blog ya watu. Hahahhaaaaaaaaa! Kuchamba kwingi huku kutoka na mavi.
 
Dinazarde Ms.Lincoln lara 1 Invisible Maxence Melo King'asti AshaDii Heaven on Earth na mtumishi wa Mungu Pdidy uwepo hapa kukemea mapepo wabaya.

Binafsi sipendezwi na malumbano ya Linda na Mange, usiku huu mkubwa kwa saa za Tanzania nimeongea na Linda kwa zaidi ya saa nzima kwenye simu nimemueleza yangu na yeye amenipa dukuduku lake.

Sina muda wa kupiga porojo kwa nini Linda ananisikiliza na kuniheshimu, sitaki kutafuta mshindi ila kwakuwa nia yangu ni njema Linda ananitumia vivid evidence zote in 24 hours nitaziweka hapa hadharani na yeye atajiunga rasmi na JF kesho kwa jina lake halisi ili kumaliza ubishi, JF ndio uwanja mpana wenye watu wenye akili wanaojuwa kudigest mambo.
Invisible naomba sana uwepo wako Linda nitakapomleta kwenye hii thread maana yeye anaijuwa JF ila si mwenzetu hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom