Mrembo anatafuta mchumba .

Sifa moja tuu?? Sasa itakuaje sisi wtt wa Dr Rem?? Duuh hii noma dada.Nna sifa zote lkn sura langu baya :thumbup::thumbup:
 
mwambie niko bize!

im-so-busy.jpg
 
ha ha ha ha.

Unacheka nini ?
Sema neno!
Acha kauli hapa! Mahendsome wenyewe ndiy nyie !
Asa mkipita mnachekacheka huyu mrembo mi ntamuuza wapi ? Mamaa shansarie huko uliko niwie "LAZI" Nimuulize nduguyo wa shuka kiwatengu , kwamba huko kwenye ukoo wao Babu zake hawakuwa na Mitala ? "mswaticims" au "mswatinization"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom