mrembo aliye free wekend

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
nina miaka 26 nina g.f ambaye yuko mbali kwa sasa sijaoa. umbo la wastani kg65, urefu cm164 napenda sana mpira situmii kilevii sipendi kwenda club elimu yangu ya juu... natafuta mrembo wa kuniondolea upweke sio kimapenzi siku za wekend awe na umri wa 20-30 awe mpenzi wa soka asiwe mlevi elimu kuanzia f4..... awe mkaazi wa jiji la dsm ukiitaji ni P.M Karibu
 
plz nenda Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More utakuta mabroiler wengi tu.
 
Upweke unaweza kukuondoka kwa kufanya mazoezi, kujiweka busy, kubadilishana mawazo na marafiki ila kama unataka mpenzi mpya sio mbaya ila sababu ulizotoa sio.
 
haya bibie ila elewa nilichoandika hapo kama ww hutaki kaa kimya quotation yako pia inaonyesha umesoma ila hukuelewa niko single sina familia this room is for those ho looking for frends kila ki2 kiko wazi so b4 u replie any threat wread and understand it...... kwa nini ww uko humu unaitji mchumba ama mpenzi??
 
ahaaahaaa mazoezi nafanya kuanzia j3 mpaka ijumaa jioni usiku mpenzi ninaye ndo maana nikaliweka wazi ukaribu wa msichana na mvulana si lazima uwe wa kimapenzi open yo mind lady... ila unakaribishwa
 
haya bibie ila elewa nilichoandika hapo kama ww hutaki kaa kimya quotation yako pia inaonyesha umesoma ila hukuelewa niko single sina familia this room is for those ho looking for frends kila ki2 kiko wazi so b4 u replie any threat wread and understand it...... kwa nini ww uko humu unaitji mchumba ama mpenzi??
mmmh! muondolewa upweke mwenyewe mkali!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom