Mrema: Wananchi Vunjo wamenifuata nyumbani na kunitaka nigombee Ubunge 2020

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,564
1,511
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Augustine Lyatonga Mrema amesema wananchi wa Jimbo la Vunjo wamemfuata nyumbani kwake kumuomba agombee ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi utakaofanyika October mwaka huu na yeye amekubali ombi hilo .

Mrema.jpg
 
Mara hii watagawana kura jimbo litaenda CHADEMA sio tu kugawana ila pia wameonesha UFISI wa hali ya juu sana hasa baada ya mbatia kujinasibu rasmi kutekeleza manunuzi ya wanachadema kwa niaba ya ccm....
NCHI HII NI KUBWA LKN PIA NI NDOGO SABA
 
Hapo itabidi Mrema abadilishiwe jimbo au apewe zawadi ya viti maalumu. Inawezekana kabisa kumkata mwanamke mmoja wa ccm afu apewe Mrema. Ccm hawafuati damn Katiba, they dont care! Wait you will see!

Mrema vs Mbatia

Wake wadogo wa ccm nccr, TLP.

Nyumba ndogo zitaonyeshana umwamba.
 
Back
Top Bottom