The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,502
- 2,046
Akihojiwa na magic fm mzee mrema amewatupia lawama wapinzani kwa kumtukana rais na kumpinga ktk kila jambo. Aidha amekumbusha kua kumtukana mkuu wa nchi ni kosa la jinai na hivyo akawashangaa polisi kutowakamata hao watukanaji!