Mrema na solar energy

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,587
4,323
Wadau munakumbuka kati ya mwaka 1997 na 2000 mh. Mrema alikuja na wafadhili wake kampuni ya kusupply solar energy ya marekani kwa lengo la kusambaza umeme nchi nzima kwa garama nafuu kabisa, waziri wa nishati kigoda akaleta vikwazo vikasababisha wale wafadhili wasimamishe kile walichokubaliana na mrema mradi ukafa. Kama ule mradi ungekuwepo kusingekuwepo kilio tunacholizwa sasahivi na tanesco, dowans na richmond. Hawa viongozi wetu wa serikali hawana nia ya kuondoa umasikini wa tanzania wanajali maslahi yao binafsi. Wito wangu kwa hawa viongozi acheni ubinafsi hizo ela sio zenu ni za wananchi. Kikwazo alichopata mrema ni kama alichopata dokta masau mtaalamu wa taasisi ya magonjwa ya moyo alianzisha huduma ya kutibu kwa garama nafuu magonjwa mbalimbali viongozi wa wizara ya afya walipoona ulaji wao unayeyuka wakamletea vikwazo kadhaa.
 
Ona sasa umeme wa mgao,gesi imepanda,mkaa hakuna kuni nazo ni bei mbaya kweli.sasa sijui jk anatupeleka wapi?ila mi nshashuka kwenye usafiri wake.ole wenu nyie wadanganyika.
 
Back
Top Bottom