Mrema aomba ukurugenzi TPA

Sabato masalia

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
228
134
KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.

ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.
 
Haya ndio yanaitwa majungu; si kazi inashindaniwa? kama ana sifa mbovu atatolewa maana hao uliowataja hawana mamlaka yao binafsi ya kumchagua huyo bwana waka.
 
Huu ni umbea usio na nia njema. Mrema ni Mtanzania mwenye haki zake na anastahili kuomba kazi hiyo. Tuache mchakato uendeshwe kwa haki siyo kuingiza majungu.
 
Ridhwan kama kweli mdogo wangu basi unajipaka matope, Mrema hafai hata kulumangia shukran bwana Sabato kutugusi hilo, mimi namjua vyema huyu mmoja wa wajumbe wa bodi bwana Julias Mamilo ni mtu wa majungu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Getstart and Defend: ninyi nanyi ni walewale mnaotaka kuihujumu nchi hii! Mnamshabikia fisadi , nanyi ni mafisadi! Wewe unaona mharibifu anasogelea binti yako harafu unasema, mwache tu, si binti atam-assess na ataona kama anamfaa au la! Kwanini binti yako usmtahadharishe kuwa huyo ni mharibifu?
Mkafie mbali huko! Poleni sana wadau kwa kuwa na mawazo mgando!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wew acha majungu, huna lolote.. acha watu waombe wapimwe kwa uwezo wao na si vinginevyo eti Makufuli alimsambaratisha acha siasa hizo vp kuhusu zile bil.200 na zaidi zilizopotea na akakosa majibu..tz tumejaaa majungu,chuki na fitina na ndo maana hatuendelei hasa kwa ajili ya watu kama wew.. au na wew mgombea??? unaogopa Mrema anaweza kukuwikea ukungu..pole
 
Getstart and Defend: ninyi nanyi ni walewale mnaotaka kuihujumu nchi hii! Mnamshabikia fisadi , nanyi ni mafisadi! Wewe unaona mharibifu anasogelea binti yako harafu unasema, mwache tu, si binti atam-assess na ataona kama anamfaa au la! Kwanini binti yako usmtahadharishe kuwa huyo ni mharibifu?
Mkafie mbali huko! Poleni sana wadau kwa kuwa na mawazo mgando!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Utawala wa sheria unatutaka tuheshimu sheria na haki za wengine. Wewe siyo mahakama na sijasikia kuwa Mrema alifikishwa mahakamani na kuhukumiwa
 
Mbona mnamtetea sana ni kabila lenu nini? Maana nyie kwa wizi hamjambo
 
Wanaomtetea wanajipendekeza tu kwa mtoto wa mshua na hii inatokana na u..nge walionao
 
Mrema tulishampima Tanroads hatufai jina lake lifyekwe mapema hata vyeti vyake vya kufoji, nawe Ridhwan na genge lako acheni longolongo msituburuze nia yenu mkamate bandari kwa kujinufaishi acheni ubinafsi, Mrema ni fisadi hana maana yoyote.
 
KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.

ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.
Na mashaka na hii Habari
 
Hv kwani Mwakembe ni kipofu? Kwani hajui kazi yake ?binafsi sishawishiki kuamini Haya ukiambiwa jambo changanya na Akili yako changanu tafakari kisha toa maamuzi
 
KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.

ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.
Huyu jamaa ni sumu , sumu kali inayoua ng'ombe wote kwenye zizi.
Waulizeni TANROADS, jamaa alihakikisha imepiga magoti kwa rushwa na asingekuwa Mgufuli TANROADS ingekuwa imekufa.
Ephraim Mrema ni mtu wa wachina, walikuwa wanaingia pale kwake na kugawa hela kama hawana akili nzuri huku wamevaa vikaptura.
Lakini naamini Mwakyembe ni mtu makini ambaye bada yakusafisha TPA hataruhusu kuwadi wa mafisadi arudi pale.
 
Mwakyembe usikubali uadilifu wako upakwe matope na fisadi Mrema huyu jamaa ni Fisadi na mchafu hafai hata kuongoza familia
 
Haya ndio yanaitwa majungu; si kazi inashindaniwa? kama ana sifa mbovu atatolewa maana hao uliowataja hawana mamlaka yao binafsi ya kumchagua huyo bwana waka.

Kama ni hivyo kwanini wanamuandalia Mchakato ?
 
Utawala wa sheria unatutaka tuheshimu sheria na haki za wengine. Wewe siyo mahakama na sijasikia kuwa Mrema alifikishwa mahakamani na kuhukumiwa

Kwani kuna waombaji wangapi ? Kwanini Mrema mwenye Mawaa anafanyiwa Mipango , na si wengine ?
 
Wale wote wasioridhika na Habari hii ya ' KIUCHUNGUZI ' Basi wanaruhusiwa kukata rufaa kwa wakuu wa Kitengo ( MODS ) ili labda ifutwe ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom