Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.
ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.