Mrema aiombea heri ndoa ya Chadema, CUF, NCCR

Mrema kwisha habari yake Mkuu Msalani wala usimtilie maanani tena!

Mrema ndio Mpinzani wa Kweli Tanzania, hawa wengine hawatakaa wavunje rekodi yake. Kwanza wote wanatafuta kuwa na madaraka tu! Ni Mrema Pekee ambaye aliacha nyadhifa zake serikalini na kujiinga na Upinzani.
 
Hakuwa anatafuta madaraka?
 
Back
Top Bottom