Mrema Agawa Mshahara Wake!!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,682
22,685
Habari wakuu,

Mwenyekiti Wa TLP Ambaye Pia Ni Mbunge Wa Vunjo Mh. Augustine Lyatonga Mrema Amewakopesha Wananchi Wa Jimbo Lake Mshahara Wake Ili Waweze Kuinuka Kiuchumi Huku Wakitakiwa Kurejesha Hela Hizo Baada Ya Miaka Miwili,.

Source: Nipashe 10, December 2013
 
Back
Top Bottom