Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,351
- 1,282
Wakuu habari za masiku, majuzi nilikuja hapa jukwaani na nyuzi takribani 2 nikiomba msaada juu ya kusahihisha toleo la window 11 kwa pc yangu. Bahati nzuri nilifanikiwa juu ya hilo sasa nilikuwa napenda kushare nanyi kasoro kadhaa nilizoziona.
Kama wewe PC yako unatumia kwa ajili ya shughuli za ufundi simu kama mimi unaweza pata changamoto kwa wale watumiaji wa crack mimi natumia miracle crack version 2.82 kwenye upande wa kupiga file haimalizi miracle itajifunga yenyewe. Pia ukitumia aladin ukiwa unataka kuweka file inajifunga yenyewe.
Kingine Web browser ya Edge hutoweza kuperuzi ishu nyingine tofauti na za microsoft hata kudownload. Ndizo kasoro nimeona mpaka sasa mambo mengine yapo vizuri na upande wa update na pata update mpya kama kawaida pia kingine kizuri ni app za android natumia kama kawaida kwenye whatsapp napata video call nimeweza kudownload instagram na twitter