digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,872
- 14,294
nimatumaini yangu kuwa hamjambo wapendwa katika bwana, bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja yangu
Kama nilivoleta Uzi wangu wa kuwataka wana jf wanisaidie kwa mambo matatu ambayo niliyataja katika Uzi huu>>>>> Wanafamilia wa JF mliopo Dar nipokeeni nakuja huko kwa matibabu<<<< ambapo katika uzi huo nilipata makundi matatu ya watu
Kundi la kwanza ni wale waliojitokeza kunisaidia bila masharti kwani waliguswa na tatizo langu , mungu wabariki sana
Lakini pia kuna kundi jingine nalo lilikuwa tayari kwani nao pia waliguswa na tatizo langu, ila walinipa masharti ya kubadili avatar yangu ndo wanisaidie,nawaombea kwa mungu awabarki kwa moyo wao wa upendo
Kundi la tatu ni wale waliojaa kejeli na dhihaka kisa tu hawajawahi kukutana na changamoto za ugonjwa , lakini pia naamini mungu wa rehema atawasamehe na kuwabariki pia
Mwisho nilifika hapo Muhimbili na kupimwa vipimo viwili vya moyo yaani ECG NA ECHO, Bahati nzuri kipimo cha ECHO, Hakikuonesha tatizo ila ECG ilionesha kuwa nina myocardia infarction(acute) au wanaita shambulio la moyo, ambalo lilipelekea baadhi ya sehemu ya moyo kutopata damu vizuri , kutokana na kuziba kwa mirija{baadhi}, hivo niliandikiwa Dawa aina ya Asparem 75 , ndo natumia kwa sasa
kwa kuhitimisha napenda kuwashukuru madaktari kwa kunusuru uhai wangu, pia wanafamilia ya jf kwa ushauri mzuri, naomba tuzidi kupendana,tofauti za kiitikadi za chama zisitutenge, naomba mniombee nipate ahueni mapema kwa mapenzi ya mungu baba, pia nakaribisha ushauri wa kitabibu ili nipate nafuu mapema na tatizo lisijirudie tena, ikiwezekana hata nielekezwe dawa za kuzibua mirija ya moyo iliyoziba.
Ahsanteni, mungu awabariki
Picha ya kipimo cha ECG>>>>
<<<<<<