Mrejesho wa Kupata Kazi: Natafuta kazi ya jikoni, lodge ama yoyote ile

PRINCEBOY

Member
Apr 23, 2014
73
52
Wakuu habari ya leo?

Nashukuru kwa maombi yenu Mungu amejibu maombi hatimaye sasa nime pata kazi nzuri zaidi ya nlivo tarajia.

Mnaotafuta kazi kupitia Jf mtapata msikate tamaa,japo kuwa kuna wakosoaji wengine wapost inayo tumwa unaweza hata kutukanwa na watu wasio jua ulicho maanisha ama uhitaji wako,we waangalie wale wanao kuombea na kukutia moyo kwenye coments zao ndo faraja yako.

Nashukuruni sana wapendwa mbarikiwe wote mlioniombea na kunitia moyo tangia nilipo post thread yangu ya kwanza.
Mbarikiwe sana.
 
Wakuu habari ya leo?
Nashuluru kwa maombi yenu Mungu amejibu maombi hatimaye sasa nime pata kazi nzuri zaidi ya nlivo tarajia.

Nashukuruni sana wapendwa.
Komaa na kazi uliyoipata mkuu, kua nayo serious, kila LA kheri mkuu ktk majukumu yako
 
Wakuu habari ya leo?
Nashuluru kwa maombi yenu Mungu amejibu maombi hatimaye sasa nime pata kazi nzuri zaidi ya nlivo tarajia.
Mnaotafuta kazi kupitia Jf mtapata msikate tamaa,japo kuwa kuna wakosoaji wengine wapost inayo tumwa unaweza hata kutukanwa na watu wasio jua ulicho maanisha ama uhitaji wako,we waangalie wale wanao kuombea na kukutia moyo kwenye coments zao ndo faraja yako.
Nashukuruni sana wapendwa.
Kazi gani uliyopsta...?
 
Wakuu habari ya leo?

Nashukuru kwa maombi yenu Mungu amejibu maombi hatimaye sasa nime pata kazi nzuri zaidi ya nlivo tarajia.

Mnaotafuta kazi kupitia Jf mtapata msikate tamaa,japo kuwa kuna wakosoaji wengine wapost inayo tumwa unaweza hata kutukanwa na watu wasio jua ulicho maanisha ama uhitaji wako,we waangalie wale wanao kuombea na kukutia moyo kwenye coments zao ndo faraja yako.

Nashukuruni sana wapendwa mbarikiwe wote mlioniombea na kunitia moyo tangia nilipo post thread yangu ya kwanza.
Mbarikiwe sana.
kafanye kazi,,, kazi kazi fanya kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom