Jing chu
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 385
- 592
Nawasalimu sana wakuu!
Ebanae ukipitia nyuzi zangu mbili za mwisho kuandika, nimetaja mgogoro mimi na mke wangu. Itoshe kusema nimefanikiwa sana kupitia ushauri wenu ukiwemo.....wadau walisema....
A. ACHANA NAE
B. MCHUNGUZE NA KUMPA MITIHANI
C. BADILIKA WEWE
Nilipata wakati mgumu kumuacha kwa sababu nampenda sana.
Katika uzi wa mwanzo nilichukua ushauri nikavumilia nikafanyia kazi kiume, uzi wa pili nilileta baada ya kuona sijafanikiwa na zile mbinu nilizopewa Uzi wa kwanza.
Katika Uzi wa pili ambao ni wa mwisho kabla ya huu nilipewa madini mengi na wadau hapa nikazidhatiti nikachuja nikachukua za kunijenga zaidi.
Kwanza nilianza kubadilika mwenyewe nikamuonyesha tabia ambazo hajawahi ziona kwangu, nikaanza kuweka simu wazi na sms za michepuko halafu nikapiga marufuku asiwapigie (ila niliishia kuchat nao tu sikuwahi kudate na yeyote) ilimuuma balaa.
Pili, time ya kurudi home nika badilisha hata nikiwahi nakaa kidogo naondoka hata SAA 3 za usiku narudi SAA 7 usiku hapo nakuwa kwa washikaji napiga tory tu. Hii ilimfanya akonde sana.
Tatu, siku moja akaleta shit nikampa za ochebe kama mabanzi mawili, nikasepa ,alishangaa sana maana sikuwahi hata kumfinya.
Nne, sikuwa tayari kula mzigo ,kwanza tayari alikuwa na ujauzito miezi 2+ so alikuwa na moto mm nikawa nazingua, cha kumshangaza nikienda town narudi na zawadi nampa halafu hata akisema ahsante nakausha natoka zangu.
Tano, lugha YANGU ya mawasiliano kwake nikawa very harsh !!! Nikasitisha msaada wowote wa kazi nilizokuwa namsaidia ndani kwa upendo wangu.
Wakuu hahahahaha kiufupi nilivimba nikatuna kichwa kikawa cha moto kama koboko, nikakaza mwanaume sikutaka kulegeza haikumchukua muda nikaona akaanza kushuka.
Sasa sana amani imetawala mama kijacho jeuri kwisha, nimemlisha kiapo nanukuu " SIKU NIKIRUDIA NIACHE WALA USINISAMEHE" mimi kama jaji au wakili ninazo documents nimezitunza.
Nampenda sana huyu mdada na hata yeye ananipenda sana,siku namwambia leo ndo mwisho alilia akavimba macho alikaa ndani anaogopa kutoka. Mrume nikakaza hadi akaenda kwa mjumbe tupate suruhu.
Nilifika kwa mjumbe nikaona isiwe issue sana haya mambo ya ndani mtu mzima nikamwambia mjumbe pole kwa usumbufu mama turudi nyumbani.
Now tunaishi kwa furaha ,ila Niko makini sana techniques ni zikezile hadi anajishtukia sometimes! AMANI IMETAWALA HESHIMA YANGU IMECHANUA NA AFYA IMEIMALIKA SANA NA PESA YANGU NAIONA TAMU SASA.
Wasaaaalamu!