Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

Mbona izo unogold hazionekan vzur na hizo ndo confirmatory
Taratibu za upimaji HIV haziruhusu kutumia unigold otherwise umeshatumia determine au bio line vika react kwahivyo maadamu determine haija react basi hakukua na haja ya kurudia tena kwa unigold hayo ni matumizi mabaya ya vitendaniahi.
 
Taratibu za upimaji HIV haziruhusu kutumia unigold otherwise umeshatumia determine au bio line vika react kwahivyo maadamu determine haija react basi hakukua na haja ya kurudia tena kwa unigold hayo ni matumizi mabaya ya vitendaniahi.
Sio uni gold mkuu.


Ni sd bio mkuu
 
Ulijuaje hao wote ni + Mkuu??

Hata hivyo Ukimwi siyo Big Deal...ni upungufu tu wa kinga mwilini...ukizingatia afya yako kinga inaimarika...
 
Mkuu una nyota ya Ukimwi +,inaonekana hutochomoka huko ipo siku utakamatika!
Ushauri:kuwa mwoga tumia Kinga.
 
Hivyo vipimo vya determine ulivyotumia havinaga rongorongo.
Hapo upo fit mkuu, hakuna cha domant wala nini. Hongera.
Unyanyapaa wetu unatusababishia dhana potofu sana.
"Kuchuna ngozi" bila kinga siyo lazima uukwae, inategemeana na kisu unachotumia kuchunia kama kimenolewa sawasawa ama kibutu.
Mambo ya kudhani niliishayaacha baada ya jamaa yangu kufanya vituko nilivyotegemea kuwa vingemuua.
Siku moja alimchukua mwanamke muathirika kwa makusudi kwenda kufanya naye ngono bila kinga!
Nikamuuliza sababu ya kufanya hivyo?
Jibu likawa 'nilitaka kuona za ukimwi zipoje'.
Jibu hilo liliniacha katika simanzi ya mawazo yaliyojaa huruma na unyanyapaa. Lakini cha ajabu, ameishi miaka mingi baada ya kituko hicho, lakini hadi leo anapima ni negative!
Kuchukua tahadhari ni muhimu sana bw mdogo kuliko kufakamia kavukavu kama unavyofanya wewe, ingawa ngozi ni tamu, hasa ikiiva vizuri.
Asikwambie mtu.
Huenda huyo Mwanamke alikuwa anatumia ARV
 
Back
Top Bottom