Mrejesho: Ukiambiwa tuwe marafiki tu basi, maana yake nini?

hahaha una maneno ya shombo 'kaka bwege' jamani embu nifichie aibu basi kipenzi usiniaibishe ivyo sijawa bwege kiivyo hisia ziliniongoza badala ya akili kuniongoza
ndio maana nikayaweka hapa ilimradi tension yangu ipungue
Sawa kaka wa chuo
 
Wee mbona nang'oa sana mpaka inanibidi niwe wa kuhama hama makazi maana naepusha shari maana nishahama kama mara nne na sasa hivi nataka niame tena maana kunakaarufu ka ugomvi
unang'oa nini mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom