chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 508
- 702
Siku ya tare 19 /09/2017 kama sijakosea hiyo tare nilileta uzi wa kuomba msaada kwa anayefahamu tiba ya maumivu ya kidole yanayokuwa yanatokea ghafla tu pasipo kufahamika chanzo chake.
REJEA: Tiba ya kidole: Nina maumivu makali sana kidole cha mkono wa kushoto
Wengine wanasema ni mdudu ambapo wengine inawapelekea kupoteza kidole yaani kukatwa kidole . Nilipokea maoni na ushauri tofauti tofauti
Wapo walioniambia nimuone Daktari, wapo walioniambia nisithubutu kwenda Hospitali wakipasua tu basi kuna uwezekano mkubwa wa kukata kidole.
Aliyeniambia nisiende Hospitali alinishauri nitumie mafuta ya taa kuloweka kidole kwa muda dakika 5 ila nililoweka kwa muda wa dakika 10 kutwa mara tatu kwa siku 1
nilifanya hivyo kwa siku moja tu!
Hivi mpaka naandika uzi huu nathubutu kusema nimepona kabisa pia natoa shukrani kwa wote mlionipa ushauri na tiba!!
Ahsante sana JF!!
Najivunia kuwa hapa!
Cc: toroka uje mjini