MREJESHO: Social anxiety, depression, panic attack vinanitesa, vinaniua taratibu

Nenda hospitali kubwa zenye vitengo vya afya ya akili au wanasaikolojia. Pia ukienda jieleze kinachokusibu mwanzo mwisho then waachie wao watoe inteventions zao. Usiende ukiwa na mentality za kwamba nipeni antidepresants au anxiolitics. Hiyo inawajengea mentality kwamba labda wewe ni m-bwia madawa una arosto zako tuu.

Maelekezo watakayokupa nenda kayafanyie kazi, yasipotoa majibu rudi tena na tena. Mara nyingi hatua ya kupewa dawa ni ya mwisho sana, hivyo kuwa mvumilivu maana hizo dawa ukizianza ni lifelong, maisha yako yote hutatakiwa kuziacha ndio maana huwa hazitolewi kihasarahasara, ni mpaka wajihakikishie kwamba now one deserves dawa.

Na ukienda waambie vile vyote vinavyoendelea kwenye kichwa chako. Hata kama akili yako inakuambia jiue waambie wazi kabisa maana the more unavyofunguka ndio na wao wanajua hilo tatizo limefikia level ipi, kama limefikia critical level basi itabidi wakupe management ambazo zinaendana na level ya tatizo.

Unforgetable
 
Antidepressants zina faida gani na hasara gani...samahan mkuu?
 
Nimeshindwa kwenda hospitali kubwa hasa muhimbili sababu wale ni gharama mno tena kuna daktari wa moja ya hospital nliyoenda alinambia kutoa ushauri tu/ kupewa ushauri ni lazima pesa itumike, hivyo nikienda huko lazima nijipange kweli kweli mfukoni.
 
Ni kweli mkuu
Pole sana mkuu. Kwenye kabila langu kuna usemi usemao ''nyumba za watu ni makaburi ya siri''. Hii ina maana kuwa usidhani tu wewe ndiyo mwenye tatizo na kukata tamaa. Watu wenye matatizo ni wengi sana hivyo yachukulie kama sehemu ya maisha. Kuhusu dawa hata mimi japo soyo daktari lakini nakushauri jaribu kutumia njia nyingine zooote kabla ya kutumia dawa. Dawa nyingi za magonjwa kama haya hufanya wahusika wawe tegemezi kwa dawa. Pia nikupongeze kwa kulijua tatizo lako na ku-share na watu bila aibu. Huu ni mwanzo mzuri sana wa kuliondoa tatizo.
 
Ila wazazi jamani izi tabia huwa mnazisababisha nyinyi kiukweli hbari ya kufungia watoto ndani na kuwalea malezi ya kutokuonana na watu wengine ni changamoto sana baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu. Nimepitia malezi hayo. Nisingekuwa mkorofi ile age ya 15 kuendelea nadhani hali yangu ingekuwa mbaya zaidi ya hapa ilipo.

Leo ukiwaambia ndio wanaanza kuelewa kwa mbali lakini muda ushapita, uharibifu ushafanyika.

Tujifunze yasijirudie kwa watoto wetu

Ni hatari sana aisee watoto huja kubadilika sana baadae kisaikologia pia ni hatari sana ...hebu tupe story kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Kwenye kabila langu kuna usemi usemao ''nyumba za watu ni makaburi ya siri''. Hii ina maana kuwa usidhani tu wewe ndiyo mwenye tatizo na kukata tamaa. Watu wenye matatizo ni wengi sana hivyo yachukulie kama sehemu ya maisha. Kuhusu dawa hata mimi japo soyo daktari lakini nakushauri jaribu kutumia njia nyingine zooote kabla ya kutumia dawa. Dawa nyingi za magonjwa kama haya hufanya wahusika wawe tegemezi kwa dawa. Pia nikupongeze kwa kulijua tatizo lako na ku-share na watu bila aibu. Huu ni mwanzo mzuri sana wa kuliondoa tatizo.

Sawa mkuu ntafanya hivyo
 
Back
Top Bottom