sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 652
Wanabodi niliweka bandiko hapa kwamba naenda Nairobi na ni Mara yangu ya kwanza niliomba kupewa majina ya maeneo ya kujidai nashukuru Sana kwa maelekezo yenu nashukuru mungu nimerudi salama, Kwa ambao hamjafika Nairobi ni mahali ambapo ukicheza unaacha Familia nilipita maeneo yote ikiwepo lidos kweli ntarudi Tena Nairobi ni patamu Sana mnagegedana hadharani yaani ni utamu mtupu.