Mrejesho: Pombe mwisho Kaunta Lowassa hadi Ikulu | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrejesho: Pombe mwisho Kaunta Lowassa hadi Ikulu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by luckyline, Aug 17, 2015.

 1. luckyline

  luckyline JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2015
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 9,191
  Likes Received: 4,848
  Trophy Points: 280
  Wakuu bila shaka mko poa.
  Kwa roho safii nachukua nafasi hii kuwashukuru wote waliofika pale furahisha kumuunga mkono raisi kamanda lowassa.

  Yaani ile sio mafuriko ni sunamiiiii, jamani tukubari kuwa lowassa ni mpango wa mungu maana hakuna namna,

  Wakuu mabomu yalipigwa pale airpot bodaboda wakanyanganywa pikipiki zao ila hatukujari maana tulienda na maji kwa mabomu, tulimpokea mpaka sehemu ya tukio.
  Baada ya mkutano ilibidi aende kupumzika GOLD CREST HOTEL mdogo mdogo mafuriko yoteee tulinsindikiza hadi chumbani.

  Izi ni baadhi ya nyimbo za kusuuza roho yake wakati tunamsindikiza apunzike:
  -mdogo mdogo mpaka ikulu...
  - alisemaa alisema alisema pombe alisema vijana na wazee tuungane tuitokemeze ccm...
  - kama sio nguvu zako nyerere na lowasaa tungepata wapiiiiii
  (mwl nyerere asante kwa kupanda mbegu bora daima tutakukumbuka).

  Salamu zangu ziwafikie wanafiki wote walosema eti lowassa mwanza hapati hata robo kisa pombe anazaliwa kanda ya ziwa mmeona????? Chato wotee walikuwa pale !Na badoooooooo yeyoooooooo, koroga korogaaaaaaaaaaaa mpaka kieleweke.

  Mwisho: nipende kusema mwisho wa mnafiki ni aibu:

  CCM KAENI MKAO WA UPINZANI IKULU TUTAINGIA MAPEMA TRH 25 SA MBILI.

  nawakilisha.
   
 2. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #21
  Nov 10, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 12,339
  Likes Received: 6,962
  Trophy Points: 280
  Tukaishia kujificha na wengine kubadilisha IDs, ha ha ha.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...