Mrejesho: Pombe mwisho Kaunta Lowassa hadi Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrejesho: Pombe mwisho Kaunta Lowassa hadi Ikulu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by luckyline, Aug 17, 2015.

 1. luckyline

  luckyline JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2015
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 9,164
  Likes Received: 4,818
  Trophy Points: 280
  Wakuu bila shaka mko poa.
  Kwa roho safii nachukua nafasi hii kuwashukuru wote waliofika pale furahisha kumuunga mkono raisi kamanda lowassa.

  Yaani ile sio mafuriko ni sunamiiiii, jamani tukubari kuwa lowassa ni mpango wa mungu maana hakuna namna,

  Wakuu mabomu yalipigwa pale airpot bodaboda wakanyanganywa pikipiki zao ila hatukujari maana tulienda na maji kwa mabomu, tulimpokea mpaka sehemu ya tukio.
  Baada ya mkutano ilibidi aende kupumzika GOLD CREST HOTEL mdogo mdogo mafuriko yoteee tulinsindikiza hadi chumbani.

  Izi ni baadhi ya nyimbo za kusuuza roho yake wakati tunamsindikiza apunzike:
  -mdogo mdogo mpaka ikulu...
  - alisemaa alisema alisema pombe alisema vijana na wazee tuungane tuitokemeze ccm...
  - kama sio nguvu zako nyerere na lowasaa tungepata wapiiiiii
  (mwl nyerere asante kwa kupanda mbegu bora daima tutakukumbuka).

  Salamu zangu ziwafikie wanafiki wote walosema eti lowassa mwanza hapati hata robo kisa pombe anazaliwa kanda ya ziwa mmeona????? Chato wotee walikuwa pale !Na badoooooooo yeyoooooooo, koroga korogaaaaaaaaaaaa mpaka kieleweke.

  Mwisho: nipende kusema mwisho wa mnafiki ni aibu:

  CCM KAENI MKAO WA UPINZANI IKULU TUTAINGIA MAPEMA TRH 25 SA MBILI.

  nawakilisha.
   
 2. gsu

  gsu JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2015
  Joined: Apr 28, 2014
  Messages: 3,463
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Huyu fisadi wenu hafiki mahala popote hatuwezi kuongozwa na mafisadi.
   
 3. luckyline

  luckyline JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2015
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 9,164
  Likes Received: 4,818
  Trophy Points: 280
  pole dagaaa utanyooka tu maana hakuna namna
   
 4. jme

  jme JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2015
  Joined: Aug 4, 2013
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,402
  Trophy Points: 280
  kwan kwa sasa haugonzwi na fisadi?
   
 5. gsu

  gsu JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2015
  Joined: Apr 28, 2014
  Messages: 3,463
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mnadhani nafasi ya fisadi lowasa bado ipo kwenye mioyo ya watanzania?
   
 6. david kisui

  david kisui New Member

  #6
  Aug 17, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lowassa ni shidah....kwel jamaa anakubalika
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2015
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,946
  Likes Received: 13,807
  Trophy Points: 280
  Jana kama ni namba basi wameisoma tayari
   
 8. P

  Petition Member

  #8
  Aug 17, 2015
  Joined: May 28, 2014
  Messages: 68
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Ndoto za mchana hizo, rais hachaguliwi kwa maandamano ya bodaboda na mihemko ya wanaokuja kushangaa viwanjani.. siasa ni sayansi sio makelele. Tukutane kwenye sanduku ya kura Octoba 25..Magufuli oyeeee
   
 9. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2015
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,116
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mko wangapi mnaosema hayo? umepaniki mkuu
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2015
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,853
  Likes Received: 20,208
  Trophy Points: 280
  Magufuli toroka uje
   
 11. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2015
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,853
  Likes Received: 20,208
  Trophy Points: 280
  kabla hujasombwa na mafuriko
   
 12. H

  HEKIMA KWANZA JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2015
  Joined: Mar 31, 2015
  Messages: 2,506
  Likes Received: 2,978
  Trophy Points: 280
  Vipi kama Kaunta iko Ikulu?
   
 13. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2015
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 569
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Sayansi gani unayoimaanisha hapa? Ya goli la mkono????
   
 14. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2015
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 569
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Sayansi gani unayoimaanisha hapa? Ya goli la mkono????
   
 15. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2015
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,743
  Likes Received: 886
  Trophy Points: 280
  Safari hii sijui mtaibaje, nasubiri kwa ham sana nione hiii sayansi ya kuiba kura mwaka huu.
   
 16. M

  Mwisawa Senior Member

  #16
  Aug 17, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 176
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa taarifa yako sio Lowasa anayechaguliwa, bali tunachagua 'mabadiliko' yaani Tanzania mpya bila ccm. Kwa hiyo hata angewekwa 'Shilole' tungemchagua tu kwasababu lengo ni kuiondoa ccm. Imeoza kabisa, nashangaa mnapoteza muda wenu kumtukana mzee wa watu. You are not seeing the point!
   
 17. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2017
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 10,815
  Likes Received: 3,874
  Trophy Points: 280
  Naomba kesto ya bardiiiiiiiii
   
 18. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 16,528
  Likes Received: 25,666
  Trophy Points: 280
  Hata Dkt Luis anakubalika si uliona jana alivyokuwa anapepewa? Hakuna Jambo jepesi Kama kuhadaa Wapumbavu ili wakakubali
   
 19. luckyline

  luckyline JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2017
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 9,164
  Likes Received: 4,818
  Trophy Points: 280
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2017
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Halafu ikawaje?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...