Mrejesho: Nimeshapona tatizo la nguvu za kiume kabla hata ya miezi mitatu

Hahaha lakini dada kila kiungo mwilini kinahitaji mazoezi, huwezi kwenda kupigana ngumi ulingoni bila mazoezi ya walimu wazoefu, hata uume unahitaji mazoezi sanaaaa, tena sanaaa. Kazi yake hiyo inahitaji nguvu sasa na practice pia. Sasa unakuta kijana anaogopa kuomba anajufungia ndani eti aonekane mwema kumbe anajilemaza. Wengine eti walokole anasona hadi anahitimu PhD hajagusa aliambiwa sex ni dhambi eti sijui walijitungia wao wanaiita amri ya sita. Ukiwa hivyo nguvu zitatoka wapi?! Nguvu za kiume haziji kwa kula sana au vizuri, zile zinatokana na mazoezi ya uume wenyewe. Kumbuka practise makes perfect dada. Ungekuwa Na uume ungenielewa.

Hahaha angekuwa mwanaume angekuelewa what do you mean
 
Nanye Go /njoo nikupe balimi moja baridi aisee,watu wamekariri aisee wanadhani show kitandani ni matokeo ya kunyanyua mavyuma ka Matumula a big NO hahahhahaa
Hahaha unataka nguvu za kiume, basi upe uume mazoezi. Sasa unataka nguvu za kiume una kula sana hayo mazoezi ya mdomo sio uume.
Huwezi kuwa mchezaji soka mzuri kwa kula vizuri tu au Kula sana, lazima ufanye mazoezi ya soka lenyewe na ulimaste.
Ukitaka nguvu za kiume upe uume mazoezi yake.
 
stress, ndio tatizo...hakuna cha tatizo la nguvu au brah brah...mkuu unastress za pesa, muombe mungu hali ya uchumi ibadilike hizo nguvu zitakuja tu
 
stress, ndio tatizo...hakuna cha tatizo la nguvu au brah brah...mkuu unastress za pesa, muombe mungu hali ya uchumi ibadilike hizo nguvu zitakuja tu
Mkuu pesa hainisumbui kiasi hicho,nina waza nini kila hitajio napata na nayafurahia maisha yangu?

Ni hofu tu ilikuwaaa
 
Alafu hata mimi nashangaa,tena ukila haya madiet yao haya unaweza shangaa uume unadhoofika na kupungua.

Hivi nani alikula matunda na chakula cha asili akanenepa ovyo tuu? Huwa wanapungua,sasa kwa nini uume nao usipunguee?

Mfano mtu anataka awe mkimbiaji bora hivi atapiga diet kweli au ataingia barabarani kuishughulisha miguu?

Je mtu akitaka kuwa na tumbo gumu atapiga diet au atakata zoezi la tumbo?

Je mtu akitaka kutengeneza mkono uwe imara mkomavu jee anaweza akafanya diet au atapiga push up?

Je mazoezi ya uume ufanye diet ule vizuri au ufanye zoezi la uume?

Sasa ikiwa kula chakula bora hakuwezi kukaza tumbo zaidi ya labda kupunguza tumbo tu ila halikazi,na tumbo ndo lipo karibu na mafikio ya chakula,jee utakaza ule uume ulioko mbalii na mafikio ya chakulaa?

Mkuu nakuunga mkono

,,sasa hapa tuvumbue mazoezi ya uume kwa namna tunayoijua,mimi nilikuwa napiga kegel na kubana mkojo japo saivi nimeacha,mengineeeeee tupia hapo.

Mfano lingine ni unachukua leso asubuhi unaikanda na maji ya joto joto then unayawka juu ya uume na unaanza kuufanyia zoezi ule uume juu chini juu chini....

Endeleza mkuu
Hahaha wewe utakosa nguvu za kiume nawe, uume unaukanda maji ya moto kwani kidonda kile?! Tafuta mwanamke pukuta mashine vizuri hayo ndiyo mazoezi ya uume. Kwani nguvu unataka za kukandia maji ya moto au sex?! Wanawake kila kona, kanata pukuta mara kwa mara ukuweza kwasiku mara tatu. Practise makes perfect. Haya kanyaga twende.
 
Zamani haya matatizo yalikuwa nadra sana siku hizi kila corner nguvu za kiume nguvu za kiume, above all pia ulaji mubaya wa msosi na kutokufanya mazoezi. Chakula bora ni muhimu mno hasa matunda ya matikiti maji.
Kama hayo matunda nayapenda sana,kumbe ndo maana nikiona hata tu mguu wa mwanamke nadidisha mpaka naona aibu yaani ni shida,ila cku hizi nikiona nadidisha napotezea kwa kuchchumaa chini style kama nafunga kamba za viatu vile
 
Hahaha lakini dada kila kiungo mwilini kinahitaji mazoezi, huwezi kwenda kupigana ngumi ulingoni bila mazoezi ya walimu wazoefu, hata uume unahitaji mazoezi sanaaaa, tena sanaaa. Kazi yake hiyo inahitaji nguvu sasa na practice pia. Sasa unakuta kijana anaogopa kuomba anajufungia ndani eti aonekane mwema kumbe anajilemaza. Wengine eti walokole anasona hadi anahitimu PhD hajagusa aliambiwa sex ni dhambi eti sijui walijitungia wao wanaiita amri ya sita. Ukiwa hivyo nguvu zitatoka wapi?! Nguvu za kiume haziji kwa kula sana au vizuri, zile zinatokana na mazoezi ya uume wenyewe. Kumbuka practise makes perfect dada. Ungekuwa Na uume ungenielewa.
Mlo bora ni muhimu kwenye uzalishaji wa sperms na anakuwa tofauti na mla chips, mazoezi yanafanya kazi ya kuondoa stress na mwili Kuwa na stamina huwezi mlinganisha mfanya mazoezi na mtu mwenye kitambi kwenye mechi lazima uombe poo. Acha kudaganya wenzako hafu wanaume wahuni ndo wazito kwa mapenzi hukojoa maji tu tofauti na asiye fanya mfululizo. So kufanya mazoezi uume na ku perform kwa mapenzi ni vtu viwili tofauti I'm telling you from my experience sasa wewe unafikiri umalaya ndo Kuwa na nguvu za kiume si kweli
 
Hahaha kumbe una maujuzi sasa we mzuri, mleta uzi hakuongelea sperms alitaka stamina, sio maufundi.
 
Back
Top Bottom