Mrejesho: Nimempa Malaya 10,000 ili nimpime Ukimwi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,852
Ni Jana tu niliweka thread ya kuuliza Kama sekunde kumi ukifanya unprotected sex unaweza kuambukizwa HIV. Nilijaribu kuficha kusema kwamba sio Mimi ila kiukweli mimi ndio nilikuwa mhusika Sasa dakika ya mwisho leo asubuhi nikamtafuta huyo mwanamke nikamwelezea kuwa sijapata usingizi siku mbili nahisi umeniambukiza coz story za mtaani zinasema umeungua.

Nikamuomba tukapime kama amenipa Basi nianze dozi ya PPE mapema coz masaa 72 yalikuwa yaishe leo saa mbili usiku, nikamuahidi nampa 10000 akakubali tukaenda wote kituoni. Nashukuru sana nimepona, wote Majibu yetu yanafanana hatuna maambukizi.

Nashauri msiwe mnasikiliza stori za watu ukisikia flani anao, jua sio kweli mpaka utibithishe kwa vipimo mwisho wa siku akanitunuku na show moja ila sirudii tena hiyo. Ndio ilikuwa ya mwisho aisee, hii amri ya sita ni ngumu kuishinda Mungu tusaidie.

JPEG_20210126_174442_4285850324066189290.jpg
1ab2936eac944599bf34df4a24bf5dba.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajitambulishe kwao umuweke ndani mkuu, wanatuliaga sana kuliko watoto wa geti Kali wanaoruka fensi au geti kupakwa grisi halitoi mlio na mlinzi wa getini nae anapewa mgegedo siku moja moja, kila anaemuopoa anapiga peku akimuamini tofauti na malaya kila mtu anamshtukia.
 
Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma. Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha. What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma? Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!😄😄😄
 
Binafsi ningekushauri ungelianza tu dozi ya PEP...

Kuna uwezekano mkubwa mtu mwenye ngoma akapima na akaonekana hana ngoma...

Je, umejiuliza kwa nini umeandikiwa kikaratasi cha tarehe ya kurejelea tena kipimo?
Ni kweli mkuu angeanza PEP immediately ukizingatia nature ya kazi ya huyo dada kwamba anakutana na wanaume kila siku hivyo chances za kupata ni kubwa,

Hicho kipimo alichokitumia hakiwezi kumpa majibu sahihi kwa muda huo aliopima toka kwenye exposure.
 
Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma.Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha.What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma?Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!
Yani bado unaamini ukimwi upo mwenyekiti?
 
Ni kweli mkuu angeanza PEP immediately ukizingatia nature ya kazi ya huyo dada kwamba anakutana na wanaume kila siku hivyo chances za kupata ni kubwa,

Hicho kipimo alichokitumia hakiwezi kumpa majibu sahihi kwa muda huo aliopima toka kwenye exposure.
Nani atakupa PEP ili hali wote wawili mko negative???. Hata kama huyo binti amepata juzi basi hawezi kutransmit sahizi. msimtishe jamaa, afurahie maisha tu
 
Nani atakupa PEP ili hali wote wawili mko negative???. hata kama huyo binti amepata juzi basi hawezi kutransmit saizi. msimtishe jamaa, afurahie maisha tu
Haha daah,

PEP anapewa ambaye hajaambukizwa ili asipate maambukizi.

Ila Kama umepimwa ukakutwa umeathirika basi wanakuunganisha kwenye dozi moja kwa moja.
 
Kipimo cha HIV huwa kinaonyesha kuwa mtu ni positive kama ameambukizwa miezi mitatu nyuma.Kama mtu ameambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma hakiwezi kuonyesha.What if huyo dada yetu aliambukizwa miezi miwili au mmoja nyuma?Mkuu nakuhakikishia kuwa umepata ngoma!
Within 3 hadi 1 mmoja kama kuna transmission mwili huanza kutengeneza antibodies...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom