Mrejesho: Nashukuru nimepata kiwanja kizuri

Zeemadeit

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
776
1,556
Habari za weekend wakuu.

Mwaka jana mwishoni nilikuja na Uzi wa kuomba ushauri ni jinsi gani naweza pata kiwanja. Watu wengi walinipa ushauri mzuri.

Nikaona itakua vizuri nikileta mrejesho.

Nimepata eneo na nmezingatia vitu Vingi ambavyo wadau walinishauri. Uzingatiaji huo kiasi ulifanya nitumie muda mrefu kupata eneo maana mengi niliona hayafai.

Nikabadili mbinu kutoka kutumia madalali maana wao unawaambia unataka eneo la hivi wanakupeleka tu eneo ilimradi nikaona wananipotezea muda.

Mbinu iliyonisadia ni ya kwenda mtaa husika ninaohitaji eneo, nikamtafuta mwenyekiti wa pale na kumueleza sifa ta kiwanja ninachotaka (Hii mbinu pia kuna mdau walinishauri hapa). Haikuchukua muda maana yeye analist ya maeneo karibu yote yanayouzwa pale so akanipeleka direct kwenye eneo lenye sifa nilizozitaja. Nikapapenda akanikutanisha na wahusika mambo yakaisha.

Mungu akijaalia mwaka huu katikati nitaanza ujenzi. Kwa sasa Nina shughulikia issue ya kuvuta maji, ramani na kibali cha ujenzi.

Ahsanteni.
 
Gharama za ziada ziligharimu bei gani mfano
1. Mashaidi
2. Mwenyekiti kama dalali
Vipi ulikuwa na majirani zako ambao umepakana nao kudhibitisha mipaka? Uliwalipa?
Hii itatusaidia sisi ambao tupo kwenye mchakato
 
Kila la kheri, sasa ni zamu ya kupambana na wazee wa kibali cha ujenzi
 
Habari za weekend wakuu.

Mwaka jana mwishoni nilikuja na Uzi wa kuomba ushauri ni jinsi gani naweza pata kiwanja. Watu wengi walinipa ushauri mzuri.

Nikaona itakua vizuri nikileta mrejesho.

Nimepata eneo na nmezingatia vitu Vingi ambavyo wadau walinishauri.Uzingatiaji huo kiasi ulifanya nitumie muda mrefu kupata eneo maana mengi niliona hayafai.

Nikabadili mbinu kutoka kutumia madalali maana wao unawaambia unataka eneo la hivi wanakupeleka tu eneo ilimradi nikaona wananipotezea muda.

Mbinu iliyonisadia ni ya kwenda mtaa husika ninaohitaji eneo, nikamtafuta mwenyekiti wa pale na kumueleza sifa ta kiwanja ninachotaka (Hii mbinu pia kuna mdau walinishauri hapa) .Haikuchukua muda maana yeye analist ya maeneo karibu yote yanatouzwa pale so akanipeleka direct kwenye eneo lenye sifa nilizozitaja. Nikapapenda akanikutanisha na wahusika mambo yakaisha.

Mungu akijaalia mwaka huu katikati nitaanza ujenzi.Kwa sasa Nina shughulikia issue ya kuvuta maji, ramani na kibali cha ujenzi.

Ahsanteni.
Mkataba mliandikishana kwa wakili? Au mliandikishana kwa mwenyekiti tu??
 
Bila Shaka ulizingatia land scape, aina ya udongo na location. Zaidi ya yote najua ulipitia uzi wangu hapa jf jukwaa la ujenzi usemao ""FAHAMU VITU VINAVYOSABABISHA GHARAMA ZA UJENZI KUTOFAUTIANA.""

Hivyo Basi kwa heshima na taadhima naomba utakapoanza ujenzi niajiri Mimi FUNDI MAHIRI WA UJENZI.

0655173113
 
Vizuri Sana, mimi pia nataka nianze mchakato wa kutafuta kiwanja. Hivo kama nitapata namba yako ili tuwasiliane, labda unaweza kunipa mwongozo itapendeza Sana. Ahsante Sana, nipo serious kabisa.
 
Kama hicho kiwanja ulichonunua sio miongoni mwa vilivyopimwa na kuwa na hati basi nikupe pole maana uko kwenye risk.

Viwanja vya kwa Mwenyekiti sio dili na vitakaa uswahilini.Anyway hongera lakini
 
Gharama za ziada ziligharimu bei gani mfano
1.mashaidi
2. Mwenyekiti kama dalali
Vipi ulikuwa na majirani zako ambao umepakana nao kudhibitisha mipaka? Uliwalipa?
Hii itatusaidia sisi ambao tupo kwenye mchakato
Mwenyekiti alilipwa ndio kama dalali.
Mashahidi hawakulipwa.

Ndio kulikua na form majirani zangu niliopakana nao walisaign bure.
 
Vizuri Sana.mimi pia nataka nianze mchakato wa kutafuta kiwanja.hivo kama nitapata namba yako ili tuwasiliane,labda unaweza kunipa mwongozo itapendeza Sana. Ahsante Sana.nipo serious kabisa
Karibu sana ukiwa na swali uliza. Tu hapa hapa hata kama sitajibu mimi atajibu mwingine.
 
Kama hicho kiwanja ulic inhonunua sio miongoni mwa vilivyopimwa na kuwa na hati basi nikupe pole maana uko kwenye risk.

Viwanja vya kwa Mwenyekiti sio dili na vitakaa uswahilini.Anyway hongera lakini
Kimepimwa ila hati bado haijatoka. Riski hapo ni nini?

Kuhusu swala la uswahilini, mazingira mimi nmeyaona na nmeyapenda tu.
 
Bila Shaka ulizingatia land scape, aina ya udongo na location. Zaidi ya yote najua ulipitia uzi wangu hapa jf jukwaa la ujenzi usemao ""FAHAMU VITU VINAVYOSABABISHA GHARAMA ZA UJENZI KUTOFAUTIANA.""

Hivyo Basi kwa heshima na taadhima naomba utakapoanza ujenzi niajiri Mimi FUNDI MAHIRI WA UJENZI.

0655173113
Nimezingatia kiasi chake fundi. Sawa ngoja nijipange nitakutafuta.
 
Back
Top Bottom