Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

Ukikmbwa toa na kama hutaki kutoa unamwambia tu hutaki kumpa...

Over!!
 
I can sense wanaume wote hasa wa JF tunatukanwa isipokuwa hubby wako hata ambao hatukucomment wala kusoma bandiko hilo. Kumbu hawa hawa ndio unaokutana nao katika maisha ya kila siku na kuomba namba sio dhambi. Anyway maisha ni mzunguko mkali. Unaweza ukajistukia unapiga mzunguko wa nyuzi 180 ghafla ukaanza kuomba namba wewe.
Mkuu umenikumbusha mbali sana.... Niliwahi kumfatilia dada mmoja alikuaga matawi ya juu alikua anasoma kampala.. Majibu yalikua ya nyojo..... Fast forward miaka mitano baadae.... Nilikutana nae maeneo ya ubaloz wa ufaransa aisee huwezi amini nilichamgamkiwa utadhani tuliwahi kua wapenzi kipindi cha nyuma... Akiniomba namba yangu nikampa. Baada ya kama siku mbili simu zikaanza mara tutoke out mara sijui nikamtembelee kwake.....mara sijui happy birthday yake niwepo blah blah blah. Blah kibao.... Ukimuangalia hajachuja sana lakini nilikuja kufatilia kumbe nyuma ya pazia mfadhil wake alisepa....... Kweli mkuu maisha yanaweza yakapiga 180 upande wa pili...
 
Kuanzia leo kabla hujani 'quote' make sure

1.umepanda international flight not less than 10hrs
2.umekaa nchi za magharibi

Hio ndio 'class' yangu kabla huja interact na mimi na wewe ujue 'class' yako.

Usisahau kumpa taarifa @housegirl @brenda18 @atoto
Hahahahhahaha... Mkuu umenifurahisha sana... Sijui na mimi ni copy na kupaste.... Kuanzia leo kama usafiri wako sio wa bodaboda au bajaji au mabasi ya kwenda south africa.
Na uwe umesomea humu humu tanzania tena shule za serikali.

Cha tatu uwe unajiamini ili hata ukitongozwa na wanaume mia usipate shija ya kukerwa.....

Ujue kuchangika na watu wanaokufana...hii ndo class yangu.....
 
Fix tu hizo mkuu. Mtu anaweza kupika tu taarifa nae aonekane yumo, ndivyo jf ilivyo

mbona unaonekana kumsemea sana...kwa nini asije hapa mwenyewe ili akanushe?
kwani mjibu hoja hawezi kuwa sahihi?
Inawezekana kabisa ikawa ni kweli.
 
Hi
Jana nilipoleta uzi huu wengi mliandika utumbo, najua uliwagusa pabaya, hata hivyo sikuwajibu kwa kuwa nilikua busy nafunga hesabu za kampuni za mwisho wa mwaka, hata hivyo huwa naingia jf asubuhi tu kabla sijaanza kazi hadi kesho tena asubuhi, so baada ya kukuta hizi pumba nimeona nizijibu

Wapo waliodai kupeana namba ni kitu cha kawaida, hii sio kweli, mbona hizo namba hamuwaombi wanaume wenzenu? Umewahi kuingia kwenye dala dala ukamkuta mwanaume mwenzio kwenye kiti halaf baada ya salaam ukaomba namba? Kama ufanyavyo kwa wanawake? Thubutu!! Kama jamaa hajakuona si rizki sijui

So waomba namba asilimia tisini na tisa huishia kutongoza, ni wachache sana atakuomba namba halaf asiendelee na mambo hayo

In fact mm natumia gari binafsi, hii haina maana kuwa sipaswi kuzungumzia usumbufu huu kwa ujumla, nimetaja dala dala kama mfano tu, lakini ni maeneo mengi sana, juzi nimempa lift mwana jumuia mwenzangu mtaani, hatufahamiani kiviile, cha kushangaza wakati anashuka posta akaomba namba ya simu, mbona kwenye jumuia yetu hajawahi kuniomba hiyo namba? Huu ni ugonjwa mbaya sana,

Watu tupo busy na utafutaji ww unahangaika kuomba omba namba za wanawake as if huna cha kufanya, I condem this behavior in the strongest terms possible

I how I met my hubby

Tulikua tukisafiri dar to nairobi kila mara kikazi huku hatujuani, ila tulishangaa tu kila mara tunagongana ndani ya kenya airways wakati mwingine tunakaa kiti kimoja, zaidi ya mara kumi bila kuombana namba ktk vipindi tofauti ndani ya miaka 3 hadi tuliporidhika wote kuwa hapa sasa ni muhimu tupeane namba, hadi sasa ni mume wangu
Mapenzi huwa yanakuja automatically tu, omba namba kama kweli unahiitaji in business terms, tuwasiliane professionally, kama kuna lolote la ziada litajitokeza tu

Wengine mliona nina dharau niliposeama ""mtu mwenyewe anaeomba namba kachoooka""
Sibadilishi kauli, ukweli ni kuwa lazima uangalie type zako unapoomba namba, kuna classes kwenye maisha, know ur class

Miliosoma nchi za magharibi mnailewa vizuri hii kanuni,
Sasa naomba muelewe tunapokuja kujichanganya na nyinyi huko kwenye shughuli za kijamii haina maana tupo class moja, bali tunataka ushirikiano tu

Mercy
...."know your class" take home message 2016. Ila mkuu ingawa haina madhara yoyote kwangu nadhani umetia chumvi nyingi kwenye statistikk za kwenye ndege na time frame otherwise I support your theme.
 
Ulimbukeni unakusumbua tu dada yangu povu lote kisa umeombwa no ya simu na mtu ambaye hajielewi angekua anajielewa hope ungepiga kimya
Wewe mwenyewe umekiri hapo mme wako mmekutana safarini ,mapenzi yangekua ivo kama unavyotaka kumpa namba ushafikiria kutongozwa
Poor perceptions inagekua ivyo ata kuoana wangekua wanaoana watu wanaotoka mtaa mmoja maana ndo wanaojuana..
Hebu sasa nikutukane kidogo,
Ivi kua na usafiri binafsi na kufanya kazi kwenye kampuni pamoja na kupanda kenya airways unaona maisha ushayapatia tayari?????
Wanawake kama nyinyi ukute mmetiwa sura za baba zenu so always mnakuaga stressed sana
Hahaaahahhaha.... Yaani leo.... Nibpoint point point kwa kwenda mbele
 
mbona unaonekana kumsemea sana...kwa nini asije hapa mwenyewe ili akanushe?
kwani mjibu hoja hawezi kuwa sahihi?
Inawezekana kabisa ikawa ni kweli.
Mkuu simsemei isipokua nimetumia uzoefu wangu hapa jf, watoto wa jf wanapenda kiki, haingii akilini mtu alete uzi hapa then dakika chache mbele afuatwe pm aseme jina lake sio mercy, aseme anaishi bukoba, in short sioni kama ni kweli

Hata hivyo unaweza kuwa sahii pia
 
Mkuu simsemei isipokua nimetumia uzoefu wangu hapa jf, watoto wa jf wanapenda kiki, haingii akilini mtu alete uzi hapa then dakika chache mbele afuatwe pm aseme jina lake sio mercy, aseme anaishi bukoba, in short sioni kama ni kweli

Hata hivyo unaweza kuwa sahii pia

Yes, kuna mwingine alikuja hapa kipindi flani akasema tunamjazia PM kuna vijana wanafanyia hili kazi...
ikikamilika mrejesho utatoka.
 
Back
Top Bottom