Mrejesho: Mpenzi nimempata

Habarini wakuu, I trust you are all okay!
Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.

Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock(calls,fb,wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.

Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.
sio bure wakupimwa akili wewe
 
Habarini wakuu, I trust you are all okay!

Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.

Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock (calls, fb, wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.

Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.
Inaonekana mpenzi wako ni member wa JF baada ya kuona bandiko lako ndio akathibitisha kuwa unampenda. Ongeza maujuzi asije akakublock tena.
 
Habarini wakuu, I trust you are all okay!

Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.

Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock (calls, fb, wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.

Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.
Huyo dem ana akili sana kamaliza kiswampa huko na bwana mwingine ndo kaku unblock hahaha bwanake akirudi anakublock usije muharibia...
Hongera kijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom