Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,144
- 8,789
Labda kuna jambo flani hajamfanyia amekumbuka amerudi kulitimiza afu aende mazimaUenda amerudi kukutumia..

sio bure wakupimwa akili weweHabarini wakuu, I trust you are all okay!
Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.
Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock(calls,fb,wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.
Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.
Ukiupata akili itakujia naona bado hujielewiHamna kitu kama hicho blessed me
Hhahaaa waduduHawa wadudu ni wa kuishi nao kwa akili sana
haaaa papuchi itumikendugu piga kitabu si asharudi mwenyew usisahau kujipongeze kwa papuchi yake
piga vilivyo weka heshima
We kweli funzasio bure wakupimwa akili wewe
Inaonekana mpenzi wako ni member wa JF baada ya kuona bandiko lako ndio akathibitisha kuwa unampenda. Ongeza maujuzi asije akakublock tena.Habarini wakuu, I trust you are all okay!
Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.
Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock (calls, fb, wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.
Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.
Huyo dem ana akili sana kamaliza kiswampa huko na bwana mwingine ndo kaku unblock hahaha bwanake akirudi anakublock usije muharibia...Habarini wakuu, I trust you are all okay!