Mrejesho: Mfanyakazi mwenzangu anasema ameshamla sana mpenzi wangu wa sasa

Mkamba Pazuri

Member
Jul 18, 2017
77
27
Habari za Jumatatu wana JF, hongereni kwa majukumu,

Nilileta uzi hapa unaosema; Msaada: Mfanyakazi mwenzangu anasema ameshamla sana mpenzi wangu wa sasa

Kwa kweli nawashuru sana kwa ushauri mlionipatia juu ya huyu mchumba wangu na huyu mfanyakazi mwenzangu, nimeufanyia kazi na umenisaidia sana, pengine bila nyinyi ningechukua uamuzi usiofaa.

Nawashukuru sana, kutoka ndani ya moyo wangu, Mungu awabariki sana wote kwa ujumla wenu na waanzilishi wa JF, ASANTENI SANA, TUFANYE KAZI TUJENGE TAIFA LETU!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ndio maana demu kamdanganya hajaliwa na huyo mfanyakazi mwnzie
 
Lete mrejesho! La sivyo ubadili heading...uandike Shukrani wana JF

JPM KAMATA WEZI
 
sasa mkuu huu ni mrejesho au shukrani mbona unatuchanganya...................

ni kweli demu wako kachezea mshedede wa mwana au maneno tu?

ungetakiwa kutupa jibu kuhusu swali ilo apa juu..........sio shukrani zasizokuwa na kichwa wala miguu
 
Jamanii! Si amesharejesha kuwa kaamua ku move on na mchumba wake? Sasa mlitaka kupata mrejesho gani? Acheni ukuda wazandiki nyie!
 
Back
Top Bottom